Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,866
- 4,264
- Thread starter
-
- #341
Hivi mods wetu mnafahamu kinachoendelea humu. Nafikiri kuna mmojawapo mchaga. Otherwise this thread is unmoderated.
Kuichi kichaga mods?
Hivi mods wetu mnafahamu kinachoendelea humu. Nafikiri kuna mmojawapo mchaga. Otherwise this thread is unmoderated.
Kuichi kichaga mods?
haina haja ya mods kuwa na wasiwasi......kwa sababu.....sioni sababu ya kukosa heshima hapa.....mpaka tulipofika kila mtu ameonyesha ustaarabu wa hali ya juu....
in kesi ofu imegensi....tutamtafsiria mod huko huko kwenye Report Abuse......
Lukoyane hanga mleu. Handu haorhe kitima kya morho na wari
Kamtsenyi waleu!!! Ruwa awatarame ipfo Kilundionyiii....
tsii keri necha Mangi oko!!!Aika rhumu lya Mangi. Nyi iyo oamka kishamba! A mbonyi tsa wakoku?
Nimegundua hicho Kimarangu ni kama Kiswahili ila unatakiwa uvute maneno kama unaremba ndo kinakuwa Kichaga chenu "Aleee baaana" maana yake aisee wewe. Napendaga kutumia bana kwa gender zote kumbe niko sahihi. LANYOKO CHAMECHENI SANA
Kamtsenyi waleu!!! Ruwa awatarame ipfo Kilundionyiii....
Inyi ngikeri dasilamu. Ma halya B bar wekyekorha nguwe necha sana.... au halya kona bar kufui na mabibo hosteli.
Omanya ngaamba kiikyo iha? Wandu wainyamara kichaka tikyi. Kuorhe kilya kya mtsinde pung'u!
Du! Jf ina mambo
Ma inyi ngikeri iha dar bana. Iho handu ngihaichi necha. Nyi indi mleu?
Kigumu kuandika? Jaribuni kuchora basi, bila shaka itawezekana kama vile mnavyosogezaga mipaka ya mashamba!