ni tahadhari tu kuwa kichaa cha ng'ombe kimeripotiwa kutokea huko Marekani!
kwa wapenda nyama ya ng'ombe hatuna budi kuchukua tahadhari-kuacha ama kupunguza mlo huo, kwani inawezekana na hapa kwetu kipo..
soma zaidi Mad Cow Disease Confirmed In California Dairy Cow, USDA Says
Unataka kusema kuwa tukila ng'ombe tutambukizwa kichaa cha ng'ombe?. Tambua kuwa BSE siyo zoonotic bali huambukiza haraka kwa ng'ombe na kuleta vifo vingi.