Kichaa aua wanafunzi Kiluvya!!!!!!!

cement

JF-Expert Member
May 5, 2012
581
218
Dah hii imetokea muda si mrefuu hapo kiluvya stand wakati wanafunzi wa sekondari wanasubili usafiri,mara akaja kichaa inasemekana ni mpiga debe na kuanza kuwatimua wakaaanza kukimbia hovyo huku na huko wengine wakikoswa koswa na magari barabarani,mwisho akakkwapua kisu cha muuza machungwa kaanza kuwachoma hovyo wanafunzi aliowakaribia na kusababisha wengine kupoteza uhai hii ni mbaya sana ni kitu cha hatari sana hiki!
 
Nini kilifuatia,hawamtia nguvuni.R.I.P WANAFUNZI WOTE WALIO YAAGA MAISHA KTK TUKIO HILO.
 
Nini kilifuatia,hawamtia nguvuni.R.I.P WANAFUNZI WOTE WALIO YAAGA MAISHA KTK TUKIO HILO.

Poleni sana wahusika;

Ni wanafunzi wangapi waliokufa na wangapi kujeruhiwa??

Huyo kichaa mpiga debe au Mtu mwenye akili zake isipokuwa ni Mibangi hiyo wanabwia pasipo kula msosi!!!


MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
dah pole sana kwa hao waliokutwa na msiba..lakini yaezekana jamaa sio kichaani teja tu kama wa pale ubungo
kuna haja ya kuwaangalia hawa vijana wanaokaa stendi bila kazi maalumu kwani wengi ndio wahusika wa wizi, ukibaka na hata mauaji kama haya
 
watu wameshindwa kumrushia mawe?
mbona ni wepesi kuuwa vibaka wanamuacha muuaji?
 
kwa kagamehakuna kichaa anaeonekana barabarani wote wamefungiwa mahali panapostahili kukaa vichaa lakini tanzania wamezagaa kila kona ndo maana wanafikia hatua ya kuua pole wote mliofikwa na huo mkasa
 
huu ni mgawanyo mbaya wa ile keki yetu ya taifa lait kama kila mtu angepata stahiki hadi hawa ndugu zetu vichaa nao wangeifadhiwa mahala pazuri na huduma zinazowastahili
 
Unajua kuna ubabe mwingine hauna maana.....ukute hao wanafunzi waliona kabisa jamaa kachukua kisu badala ya kukimbia kuokoa maisha wao wakaweka vifua.....
 
Kwenye awamu hii ya 4 ya uongozi wa JK wa 2, idadi ya vichaa na waokota makopo imeongezeka kwa kasi mpya ajabu!!
 
huu ni mgawanyo mbaya wa ile keki yetu ya taifa lait kama kila mtu angepata stahiki hadi hawa ndugu zetu vichaa nao wangeifadhiwa mahala pazuri na huduma zinazowastahili
kaka ukisubiri kila kitu mpaka ifanye serikali nafikiri kutakuwa hakuna sababu ya kila binadamu kuwa na ubongo wake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom