Kibuyu cha babu

habari ya hapa

JF-Expert Member
Dec 20, 2012
12,791
8,743
IMG-20170417-WA0000.jpg
 
Busha linatibika aende tu hospital watoe maji atarudi mzima wala halazwi huyo
 
Nasikia wengine hivi vibuyu huwa Mali, eti kuna vitu huwa wanahifadhi mule
Pwani yanauzwa hayo mabusha, ukiwa nalo unaitwa mwinyi, hata ubalozi wa nyumba kumi unapewa. kunamzee alikuwa na busha lake, likaibwa kwenye daladala ilikuwa patashika nguo kuchanika. mpaka akarudishiwa ndo amani ikaja, alipoteza muda wa abiria karibu masaa mawili.
 
Ha haaaaaa

Nimecheka sana,

Kuna Katibu wa uvccm mwaka juzi alipelekwa Pemba, kuja rudi huku karudi na kibuyu na kupandishwa cheo kabisa, watu wanahisi huenda hicho kibuyu kina siri ya cheo chake kipya
 
Duh! Yani korodani Na udogo huu linaweza fika ukubwa huo, kweli kuna magonjwa duniani balaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom