Kibuti nouma guy's

Kibuti nouma guy's

TOTS SHALO

Senior Member
Joined
Sep 24, 2012
Posts
152
Reaction score
25
Hi people
ilikuwa siku ya j nne saa 9:30 asubui mara cm yangu ikaita namazungumzo yalikua iv
Tots. Halo ooh baby
Doreen. Naomba uje nyumbani halaka kwani mama na baba hawapo mwenzako naham yakusex
Tots. Haiwezekani kwaleo kwaxababu naenda chuo nina pind
Doreen. Kama huwez kuja namtafuta mwanaume mwingne aje kunitoa ham
Tots. Apana baby usifanye ivo nakuja xaxa iv
Doreen. Sawa ukifika getini naomba unibp. Mara nikajianda fasta fasta ili nikale mzgo nilipofika nikambp namazungumzo yalikua iv
Doreen. Unasikia wee ----- kuanzia leo ctaki kuwa nawewe ndo unanifanya nishindwe kuxoma na ukome kunipigia cm shika vikad vyako na viuwa lose vyako. Nikabaki nimesimama huku nimepingwa bumbuaz. Tena naomba uondoke kabla cjamuita baba na mama.
 
So story ikaendeleaje sasa maana naona kama haijaisha
 
Sasa mkuu huyi hakuwa na mapenzi yoyote kwako
Maana hata wewe alikuwa anakupigia simu na kumtumia kadi na maua so hakuna aliyekuwa anamsumbua mwenzake
Hiyo ni gia tuu ya kukuacha inawezekana amepata mwingine
Halafu we chalii ya arusha mbona sio mjanja machalii wa atown tuko njema mkuu acha zako bana unatuaibisha
 
kumbe na wewe unasoma mnaharibiana masomo wote wawili

huyo kapata kabwana kengine
 
Hi people
ilikuwa siku ya j nne saa 9:30 asubui mara cm yangu ikaita namazungumzo yalikua iv
Tots. Halo ooh baby
Doreen. Naomba uje nyumbani halaka kwani mama na baba hawapo mwenzako naham yakusex
Tots. Haiwezekani kwaleo kwaxababu naenda chuo nina pind
Doreen. Kama huwez kuja namtafuta mwanaume mwingne aje kunitoa ham
Tots. Apana baby usifanye ivo nakuja xaxa iv
Doreen. Sawa ukifika getini naomba unibp. Mara nikajianda fasta fasta ili nikale mzgo nilipofika nikambp namazungumzo yalikua iv
Doreen. Unasikia wee ----- kuanzia leo ctaki kuwa nawewe ndo unanifanya nishindwe kuxoma na ukome kunipigia cm shika vikad vyako na viuwa lose vyako. Nikabaki nimesimama huku nimepingwa bumbuaz. Tena naomba uondoke kabla cjamuita baba na mama.
Pole sana!jikusanye uendelee na maisha!
 
Pesa sabuni ya roho mkuu,mkono mtupu haulambwi
 
Hi people
ilikuwa siku ya j nne saa 9:30 asubui mara cm yangu ikaita namazungumzo yalikua iv
Tots. Halo ooh baby
Doreen. Naomba uje nyumbani halaka kwani mama na baba hawapo mwenzako naham yakusex
Tots. Haiwezekani kwaleo kwaxababu naenda chuo nina pind
Doreen. Kama huwez kuja namtafuta mwanaume mwingne aje kunitoa ham
Tots. Apana baby usifanye ivo nakuja xaxa iv
Doreen. Sawa ukifika getini naomba unibp. Mara nikajianda fasta fasta ili nikale mzgo nilipofika nikambp namazungumzo yalikua iv
Doreen. Unasikia wee ----- kuanzia leo ctaki kuwa nawewe ndo unanifanya nishindwe kuxoma na ukome kunipigia cm shika vikad vyako na viuwa lose vyako. Nikabaki nimesimama huku nimepingwa bumbuaz. Tena naomba uondoke kabla cjamuita baba na mama.
Pole sana,huna haja ya kuhangaika sana kuhusu hicho kibuti,cha msingi ni kuhamishia akili yako katika masomo.
 
Huna msimamo,ungeshikilia msimamo wa kwenda pindi angejiona si lolote na asingekupa kibuti
 
Sasa mkuu huyi hakuwa na mapenzi yoyote kwako
Maana hata wewe alikuwa anakupigia simu na kumtumia kadi na maua so hakuna aliyekuwa anamsumbua mwenzake
Hiyo ni gia tuu ya kukuacha inawezekana amepata mwingine
Halafu we chalii ya arusha mbona sio mjanja machalii wa atown tuko njema mkuu acha zako bana unatuaibisha

Products za mulugo nouma aisee!
 
Love hurts when you break up with some one.
Hurts even more when someone breaks up with you But love hurts
the most when the person, you love has no idea how you feel.
 
shukuru kwa kila jambo, na kila jambo linatokea kwa sababu fulan. so don't got stress coz lyf must goz on.
 
Asa kama huna pesa unahangaika na wanawake wa kazi gan jomba?
 
Sasa mkuu huyi hakuwa na mapenzi yoyote kwako
Maana hata wewe alikuwa anakupigia simu na kumtumia kadi na maua so hakuna aliyekuwa anamsumbua mwenzake
Hiyo ni gia tuu ya kukuacha inawezekana amepata mwingine
Halafu we chalii ya arusha mbona sio mjanja machalii wa atown tuko njema mkuu acha zako bana unatuaibisha

aisee chaliangu usiongee ivo love nouma usiombe yakukute.
 
Chalii yangu unatuaibisha bana machalii wa arusha huwa hawalii lii wakiachwa wanakuwa ngangari kusonga mbele bana wacha zako bana
 
Back
Top Bottom