Kibuti nouma guy's

Kibuti nouma guy's

pole sana usidhani hapa ndio nmwisho wa kuachwa maana unawza pata mwingine nae akakumwaga. uasijali utazoea na maisha yataendelea.
 
Chalii wangu usijali sana, nikukute pale Sanawari nikakukamatishe mmoja pale Masai aisee
 
Hi people
ilikuwa siku ya j nne saa 9:30 asubui mara cm yangu ikaita namazungumzo yalikua iv
Tots. Halo ooh baby
Doreen. Naomba uje nyumbani halaka kwani mama na baba hawapo mwenzako naham yakusex
Tots. Haiwezekani kwaleo kwaxababu naenda chuo nina pind
Doreen. Kama huwez kuja namtafuta mwanaume mwingne aje kunitoa ham
Tots. Apana baby usifanye ivo nakuja xaxa iv
Doreen. Sawa ukifika getini naomba unibp. Mara nikajianda fasta fasta ili nikale mzgo nilipofika nikambp namazungumzo yalikua iv
Doreen. Unasikia wee ----- kuanzia leo ctaki kuwa nawewe ndo unanifanya nishindwe kuxoma na ukome kunipigia cm shika vikad vyako na viuwa lose vyako. Nikabaki nimesimama huku nimepingwa bumbuaz. Tena naomba uondoke kabla cjamuita baba na mama.
naona ulikua una date na kilaza maaana hata haja appeal to logic ili kama huo mtoso ulopewa uwe na uwiano hasahasa na vitu kama hivyo but all in all this story of yours is practically untrue..mtazamo tuu huu
 
HorsePower umesahau kuwa tukio la karibuni aise
Hebu funguka mkuu macho usome between the lines uone ni zao la watu gani

Hahaaaa, hii litakuwa ni zao la standardization aiseee, matokeo yake ndo haya!!!
Hakuna maamuzi yaliyonikera kama standardization, yaani mtu amefeli then mnamuongezea maksi kirahisi tu ili mradi kujifurahisha na kubadili rekodi ionekane mwaka huu watu wamefaulu. Matokeo ndiyo tunapata madokta feki, profesa feki, madaktari feki ambao wanafanya upasuaji wa kichwa badala ya miguu nk nk au kuwa na hawa viongozi ambao wanazungumza pumba na matusi bungeni!
 
hawakawii kusamehe hao mkuu wewe tulia kidogo,ipo siku utamla tuu wala ondoa shaka!!umesahahu formula ya wanaume kuwa ukisha mvua mtu chupi hana ujanja tena!!!!!
 
Back
Top Bottom