Kiburi kipo active

Kiburi kipo active

Mkuu usiombe ukakutana na mtu mwenye ile "too much pride"
Hiyo sio pride mkuu. Hajakupenda. Moyo hauwekewi kiburi. Angekupenda angeshakutafuta. Ila wewe kuondoka kwenye maisha yake hakukua na effect ndo maana akaona nenda mwana kwenda
 
Huwa Sina ya kumtambulisha mwanamke kama mpenzi coz wapo wengi.
Mi napiga mishe nasepa
 
Kama hamna mapenzi. Mwenye mapenzi zaidi ndo atakua anakutafuta asubuhi mchana jioni. Ikifika muda anaona yeye tu ndo Ana jukumu LA kukuchek anachoka anasepa
Mzigua90 nmependa jinsi unavyoielezea hii hali ya imbalance. Bila shaka una uzoefu wa kutosha kwenye hii field.

Saluteèe
 
ukimsugua fresh...mwenyewwwe anakutafuta hata sa 10 usik
 
Kwanini nijipendekeze mie tu. Fanya nifanye
BTW kuna mwanaume nilikutana nae akaniambia yeye mambo ya mwanamke kuanza kumtafuta kila SAA hataki. Anataka akikaa kimya na mwanamke avimbe. Ila wale wa kila SAA bby bby hataki
Watu wengine wamezidi kila wakati sim na maswala kibao inafaa sasa watu kupeana time kidogo kufanya shughli muhimu.
Pale mnapotulia ndio inakua wasaa mzur wa kutaftana.
 
Watu wengine wamezidi kila wakati sim na maswala kibao inafaa sasa watu kupeana time kidogo kufanya shughli muhimu.
Pale mnapotulia ndio inakua wasaa mzur wa kutaftana.
kuna asubuhi mchana na jioni hata mara tatu tu kwa siku bado kuna watu watatata useme good morning wewe na usiku mwema wewe. maisha mafupi haya kuhangaika na watu wkati wengine wanakuhangaikia no no no. Raha ya mapenzi mawasiliano. mawasiliano yakilega ni wakati wa kuaga
 
Nakubali ila time nyengine lazima ue kauzu akinyamaza unakwabua akizingua unamueleza tu ukweli japokua wengi ukiwaambia huleta vijisababu.
 
Upo online, yupo online lakini kila mtu yupo busy na mambo yake, mnashindana nani awe wa kwanza kumsalimia mwenzake, kiburi, dharau vimejaa mioyoni mwenu, penzi lenu lipo tu kutambulisha kama nanyi ni wapenzi, hakuna raha wala amani katika uhusiano wenu kwa sababu hakuna anayetaka kujishusha, kaka zangu na dada zangu kuheshimiana na kutambua thamani ya mwenzi wako kwako ni silaha kubwa katika kuudumisha upendo wenu

Msoleka
Vitu havina thamani isipokuwa mmevipa hiyo thamani (walionielewa wanyooshe mkono)
 
Kwanini nijipendekeze mie tu. Fanya nifanye
BTW kuna mwanaume nilikutana nae akaniambia yeye mambo ya mwanamke kuanza kumtafuta kila SAA hataki. Anataka akikaa kimya na mwanamke avimbe. Ila wale wa kila SAA bby bby hataki
Mi mwenyewe wa kila saa baby baby, text text hahaaa utanichosha bure
 
Mnaopenda kuchat chat na wenza wenu hivi huwa mnachat nini haswa...!!!
 
Back
Top Bottom