Kiburi kiliniponza

Kiburi kiliniponza

pambe samanini

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2015
Posts
430
Reaction score
224
Katika familia yetu tulikuwa vijana wengi sana, hata tulipoanza safari ya masomo tulianza sote na kumaliza kwa pamoja.

Kila mara nilikuwa nachelewa kufika shule na kuadhibiwa. Maonyo yalikuwa mengi na adhabu nyingi sikusikia kabisa.

Baadhi ya walimu walisema " kijana Dunia shujaa, walimwengu whadaa" hata sikujali. Nilipooa nikaanza kuwa mkuu wa kaya mwenye familia, sikusikia wa kwangu Wala wa jirani.

Familia ilianza kulalama, mke akaondoka kwenda kwao, watoto wakahama nyumbani, majirani na jamii wakanitenga, nikaishi maisha ya jeuri na kejeli ikizingatiwa Mungu alinijalia kipato.

Kwenye viringe vya gongo nikijulikana watu walipenda kwa sababu ya pesa, na niliwapa gongo, wasiokunjwa mvinyo wangu walinishangaa kwa kiburi na matendo yangu.

Mpaka sasa Sina familia na mshauri najiendea pekee yangu kwa kuwatafuta ndugu zangu wa karibu ili wanisaidie kupunguza mawazo, hata hivyo hainisaidia, mke hataki kurudi na hata sana nimekubali" dunia shujaa walimwengu hadaa"
 
Chai
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom