Kibonzo: Kipanya aruka na uvaaji wa barakoa

Kibonzo: Kipanya aruka na uvaaji wa barakoa

Mtu anakejeli halaf anaachwa..dah
Sasa hapo ana mkejeli nani?!!usitake kulazimisha watu unachokihisi wewe ndio dhamira ya mchoraji!!!au ndio ile ya lisu alipomsema JPM!!kumpeleka mahakamani akasema kwani jpm ni ufupisho wa nini?akwambwaga mazima mimi sikumanisha hivyo!!na kesi akashinda
 
Wazee wa uhuru wa vyombo vya habari nisaidieni mbona bado hatutangaziwi vifo vinavyotokana na covid au mzimu wa J bado unakandamiza uhuru?

Tupewe takwimu kwa wiki au mwezi wanakufa watu wangapi kabla ya mahubiri ya Barakoa na chanjo
Tulia mzee.Endelea kula mtori nyama utazikuta chini.
 
Back
Top Bottom