Mwendazake ( Hayati Rais Dkt. Magufuli ) alipanda Mbegu ya Kuogopwa ambayo ikikomaa huzalisha Unafiki ulioiva na Kukomaa kwa Mswahili ( Mtanzania ) ambao ndiyo unauona sasa na utaendelea Kuuona sana tu.Kwa mara nyingine Kipanya ameruka na jinsi watu walivyo badilika .
Mara baada ya mwendazake kutangulia mbele za haki sasa taifa limejikita na jinsi ya kujikinga zaidi na magonjwa ya upumuaji. View attachment 1793812
Hamsa au HamasiAkili Kubwa Sana Huyu Hamsa......
Ndio ' Hadi naliliu'?. Nikikumbuka wale Taahira wawili WA Wizara ya Afya walivyokuwa wakiipromoti tangawizi naamini Magu alikuwa anatisha.Jamaa alikuwa mbabe Sana kila mtu alikuwa anamuogopa Hadi makamu wake.
Na hili la uoga lilikuwa linaipeleka nchi pabaya sana. Tulikuwa tunaelekea kuzama.Mwendazake ( Hayati Rais Dkt. Magufuli ) alipanda Mbegu ya Kuogopwa ambayo ikikomaa huzalisha Unafiki ulioiva na Kukomaa kwa Mswahili ( Mtanzania ) ambao ndiyo unauona sasa na utaendelea Kuuona sana tu.
Unafiki ilikuwa Mtaji...Mwendazake ( Hayati Rais Dkt. Magufuli ) alipanda Mbegu ya Kuogopwa ambayo ikikomaa huzalisha Unafiki ulioiva na Kukomaa kwa Mswahili ( Mtanzania ) ambao ndiyo unauona sasa na utaendelea Kuuona sana tu.