Nafikiri wapenzi na mashabiki wa Chadema hapa JF hamna haja ya kumshambulia Rejeo kiasi hicho, kama mkiitizama kauli au mawazo yake kwa upana zaidi yana mashiko ndani yake! Rejeo you are right you most people are curious to know the mechanism Chadema will use to control the so called "Fisadis", afterall even though it is true that curiosity killed the cat, but it is also true that the same curiosity make a good scientist! kama Chadema wanataka kufanya mambo yao kisasa zaidi wawe curious kama Rejeo, wasiwafurahie tu hawa "wana wapotevu" waliokuwa wanakula na nguruwe ugenini, na sasa wameamua kurudi kwa baba kuomba radhi, jambo wafanywe watumishi!