Kibonzo cha lissu

Kibonzo cha lissu

TEAM 666

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2017
Posts
4,442
Reaction score
8,695
Aibu ya watu wasio julikana

7f33a3392f33b0ed7b510ad48bde9b6d.jpg



mungu ni mwema risasi 30 hatimae lissu ni mzima hakika mungu ni mwema

ce5c6893bf02c3444d338eea5e11c7d1.jpg


tumshukuru mungu kwa kila jambo

405a535f85230d54d7d9e57f113aa489.jpg


25fcab5ded22fc0e6baffc70841dab25.jpg


Kuna binadamu wana husda na roho mbaya hakika mungu atawaumbua.
 
aliyemwaga damu ya Lisu, kuna siku atailipa yote kila tone. hakuna damu ilishawahi kumwagika kwenye ardhi, tena isiyo na hatia, mmwagaji akabaki salama. God is watching every move we make!
 
Hakuna jinsi bali akatubu maovu yake ya kuteka, kutesa, kutaka kuua na kuua, kuendesha Nchi kidikteta, wizi, uongo, ukwapuzi, kutoheshimu sheria za nchi, katiba, Bunge, mahakama, kuwadhalilisha Watanzania kwenye bomoa bomoa, undumilakuwili kwenye kuhakiki vyeti, kumfukuza kazi Nape na wengine wengi ambao walifukuzwa kwa uonevu.

Hakuna jinsi bali akatubu tu maana Watanzania wengi wamemshtakia Mwenyezi Mungu kuhusu kuonewa na kudhalilishwa kwao na malipo ya uovu ni hapa hapa duniani.

Aibu ya watu wasio julikana

7f33a3392f33b0ed7b510ad48bde9b6d.jpg



mungu ni mwema risasi 30 hatimae lissu ni mzima hakika mungu ni mwema

ce5c6893bf02c3444d338eea5e11c7d1.jpg


tumshukuru mungu kwa kila jambo

405a535f85230d54d7d9e57f113aa489.jpg


25fcab5ded22fc0e6baffc70841dab25.jpg


Kuna binadamu wana husda na roho mbaya hakika mungu atawaumbua.
 
na wale wote waliompiga lisu au waliopanga njama Lisu apigwe, WAKATUBU.....
 
Mnyeshweni pombe za kijijini Mbowe siku moja atawaambia ukweli wote.. akimaliza wala msimpige mpelekeni Coco Beach juu ya mnazi akae kama sanamu tupite tumcheke kabla hawajampeleka mahabusu atakapo zeekea.
Mkuu ngoja waje wanaomtetea maana maji aliyowanywesha anajua nwenyewe alikoyatoa
 
Mnyeshweni pombe za kijijini Mbowe siku moja atawaambia ukweli wote.. akimaliza wala msimpige mpelekeni Coco Beach juu ya mnazi akae kama sanamu tupite tumcheke kabla hawajampeleka mahabusu atakapo zeekea.
images
 
  • Thanks
Reactions: BAK
tuwaombee pia watu wote waliojeruhiwa ktk matukio tofauti tofauti, waweze kupona haraka ili waendelee na majukumu yao ya kila siku.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Aibu ya watu wasio julikana

7f33a3392f33b0ed7b510ad48bde9b6d.jpg



mungu ni mwema risasi 30 hatimae lissu ni mzima hakika mungu ni mwema

ce5c6893bf02c3444d338eea5e11c7d1.jpg


tumshukuru mungu kwa kila jambo

405a535f85230d54d7d9e57f113aa489.jpg


25fcab5ded22fc0e6baffc70841dab25.jpg


Kuna binadamu wana husda na roho mbaya hakika mungu atawaumbua.
wahusika wengine wana frustration
 
Back
Top Bottom