Tumeshatoka uchumi wa kati, makusanyo ya TRA yamevunja rekodi, tunapeleka vyumbo mwezi I na Biden anaomba msaada.
Kwa mapato hayo ya TRA huo mwaka mbali sana hahahaTumeshatoka uchumi wa kati, makusanyo ya TRA yamevunja rekodi, tunapeleka vyumbo mwezi I na Biden anaomba msaada.
Hujasikia makusanyo ya TRA kwa mwezi December wewe. Kila Mtanzania atapata vietii unaijua vietii wewe?
Kwa jicho la haraka hii ni dhihaka kwa CCM na Serikali yake.
Huo uhuru wa kumchagua kiongozi wanaemtaka tu Watanzania hawana. Ninadhani jamani aibu ianzie hapo.Kwa jicho la haraka hii ni dhihaka kwa CCM na Serikali yake.
Ukitizama kwa undani hii ni dhihaka kwa Watanzania na wote wenye asili ya Tanzania. Nafikiri sio hekima maana wapo Watanzania makini ambao wana intelligence na intellectual ability kuliko hao Americans tunaowashabikia. Chinese walikataa kuabudu Wamarekani ndio maana maendeleo yao yanapaa. Kwa nini Watanzania wasijiwekee dhamira kama Wachina?
#MindSet
Huo uhuru wa kumchagua kiongozi wanaemtaka tu Watanzania hawana. Ninadhani jamani aibu ianzie hapo.
Misingi ya Tanu ilisema ili tuendelee tunahitjiUsemavyo ni kweli. Lakini haiondoi ukweli kwamba tunao Watanzania intelligent intelligent kuliko hao Wamarekani wanaoongozwa na Donald Trump.
Hata hivyo siwezi kukataza mtu yeyote anayeona Watanzania wote kuwa ni watu mbumbumbu. Niwezacho kufanya ni kutoa angalizo kuwa WaTZ wako vizuri, mifumo ya kiutawala pengine ndio kikwazo.
Mapungufu kwenye utawala na utendaji wa serikali ni mengi na yanajulikana.Misingi ya Tanu ilisema ili tuendelee tunahitji
Watu, Ardhi Elimu, Siasa safi na uwongozi bora.
Kabla ya uhuru ardhi yetu ilitumiwa vyema, ilizalisha ajira na tulipeleka bidhaa nje.
Sasa hivi tuna ardhi lakini haitumiki zaidi ya ziongozi kujimilikisha maekari z.
Usemavyo ni kweli. Lakini haiondoi ukweli kwamba tunao Watanzania intelligent intelligent kuliko hao Wamarekani wanaoongozwa na Donald Trump.
Hata hivyo siwezi kukataza mtu yeyote anayeona Watanzania wote kuwa ni watu mbumbumbu. Niwezacho kufanya ni kutoa angalizo kuwa WaTZ wako vizuri, mifumo ya kiutawala pengine ndio kikwazo.