Hiyo X [ten] tayari ninayo...GSM unlocked.
Hapo kwa kweli Apple imepatia saaaaana.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] “USA baeby” ngoja waje team nanhii watatema povu lote la wikiend wana moto
mbaya ukitaja iPhone. Na twaisubiria kwa Hamu iPhone x
Mkuu unanua cash au ni 'contract phone' unalipia kila mwezi?Hiyo X [ten] tayari ninayo...GSM unlocked.
Hapo kwa kweli Apple imepatia saaaaana.
Inategemea na mtazamo wa mtu. WaTz wengine yuko radhi atumie akiba yake yote kununua iPhone, mimi binafsi sinunui simu zaidi ya 300,000/- kwasabsbu nishamiliki latest phones before ambazo nilikuwa napata bure sasa sioni mantiki ya kutoa 2.5m ninunie simu!
Kwa upande mwingine ni priority, mfano naweza kutumia 2m kununua Tv lakini sio simu.
Kwa kumalizia kwangu mimi mtu akimiliki iPhone wala sioni kama kafanikiwa naona ana hobby tu na hio device.
Tecno inanitosha wala sitamani iPhone wala nn
Mkuu unanua cash au ni 'contract phone' unalipia kila mwezi?
Well said mkuu, kila mtu ana hobby na kitu fulani na kukipa uzito kwa upande wake mimi binafsi siwezi kununua simu hata ya laki 5 bora nimtumie hiyo hela mama aninunulie shamba huko kijijini.Inategemea na mtazamo wa mtu. WaTz wengine yuko radhi atumie akiba yake yote kununua iPhone, mimi binafsi sinunui simu zaidi ya 300,000/- kwasabsbu nishamiliki latest phones before ambazo nilikuwa napata bure sasa sioni mantiki ya kutoa 2.5m ninunie simu!
Kwa upande mwingine ni priority, mfano naweza kutumia 2m kununua Tv lakini sio simu.
Kwa kumalizia kwangu mimi mtu akimiliki iPhone wala sioni kama kafanikiwa naona ana hobby tu na hio device.
You dont buy...kama una credit score nzuri unapewa free phone,2000minutes,10gb,unlimited text for $30 per month...mfano.Simu siwezi kununua kwa mtindo huo.
Ni cash money right away.
Kama huwezi kununua simu kwa pesa taslimu basi jua huna uwezo bali unalazimisha tu.
I wanted one. Bought it. Now I own it....free and clear!
Halafu wamiliki wa iPhone wanapenda kuionesha onesha kwa mbwembwe sana.
Well said mkuu, kila mtu ana hobby na kitu fulani na kukipa uzito kwa upande wake mimi binafsi siwezi kununua simu hata ya laki 5 bora nimtumie hiyo hela mama aninunulie shamba huko kijijini.
Halafu wamiliki wa iPhone wanapenda kuionesha onesha kwa mbwembwe sana.
Nina shamba heka 50 alinitoshi?
Fake mkuuZilizodurufiwa ndo zikoje?
That's true, hobby drives watu, mi binafsi nishamiliki sana smartphone lakini ukiniuliza ntakwambia naitumia tu kungalia matokeo live score, upuuzi kabisa kununua simu ya 1+M ukiachia mbali hobby, Waafrika wengi hasa maskini kama watanzania tunaamini katika ufahari kuficha umasikini wetu, ndio maana leo nikiwa na dili napiga mwenyewe maana kila mtu anasema ana business zake kumbe anaosha tu.Well said mkuu, kila mtu ana hobby na kitu fulani na kukipa uzito kwa upande wake mimi binafsi siwezi kununua simu hata ya laki 5 bora nimtumie hiyo hela mama aninunulie shamba huko kijijini.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi natumia IPhone
Moja ya Faida ya IPhone siazimwi Charger.
Nilihama Samsung kwa kero ya kuazimana charger na team techno
That's true, hobby drives watu, mi binafsi nishamiliki sana smartphone lakini ukiniuliza ntakwambia naitumia tu kungalia matokeo live score, upuuzi kabisa kununua simu ya 1+M ukiachia mbali hobby, Waafrika wengi hasa maskini kama watanzania tunaamini katika ufahari kuficha umasikini wetu, ndio maana leo nikiwa na dili napiga mwenyewe maana kila mtu anasema ana business zake kumbe anaosha tu.
Umeona mkuu, unanunua simu ya 1m+ halafu matumizi yake ya kawaida kabisa, whatsap, call&sms, na ku browse tu, vitu vilivyomo ndani( program) hujawahi vitumia hata robo kwa nini usiwe na simu ya laki 2/3 tuu inatosha.That's true, hobby drives watu, mi binafsi nishamiliki sana smartphone lakini ukiniuliza ntakwambia naitumia tu kungalia matokeo live score, upuuzi kabisa kununua simu ya 1+M ukiachia mbali hobby, Waafrika wengi hasa maskini kama watanzania tunaamini katika ufahari kuficha umasikini wetu, ndio maana leo nikiwa na dili napiga mwenyewe maana kila mtu anasema ana business zake kumbe anaosha tu.