Kibonge!

Jidu

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2011
Posts
1,232
Reaction score
757
[h=1] [/h]
Mdada pichani kwa jina la Ulanda Williams mwenye miaka 32 na urefu wa futi 6-"5",alinusurika kufa baada ya kuanguka wakati akisubiria usafiri,aliamua kujificha pembeni ya jengo moja baada ya mvua kuanza kunyesha na pahala aliposimama ndipo pakaporomoka na kudumbukia chini,kazi ya kumtoa dada huyo mwenye uzito wa paundi -400 iliwachukua police na waokowaji 40 pamoja na kijiko kilichofungwa neti maalum ili kuweza kumtoa huko chini!
 
Tipwatipwa, utafikiri mbuyu uliokatwa matawi ukabakia ...
 
Mkono mwingine ameuweka wapi?
au ndo huo uko ndani?
Mnene lakini mrefu, amebalance.
 
Pole zake. Ana shepu za wanawake wa kimasai. Nilipoona picha nilitarajia kuona jina kama Nagatie Lepuruti.
 
huyu atakuwa dada mwenye kiuno kipana duniani...
 

Mshoni wake hana tabu anatoboa tundu basi!
 
Akiwa anapita inatakiwa mwanae atangulie mbele na kibao chenye maneno 'ABNORMAL WIDE LOAD'
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…