Kibonde wa porini

Anasikitisha kwa kweli hna nguvu hana spidi sana,hata mapembe hata.kikubwa zaidi hana umoja bora kidogo wangekuwa hata na umoja mwenzao anaposhambuliwa wao wanachojua ni kukimbia tu,hata simba watoto huwa wanachukulia mazoezi kwa vibonde hivi

yani we acha tu mkuu unakuta wanakimbia mara washtue kijoti kdogo kumbe simba wameshaweka mtego halafu wale hawaoni rangi za wanyama
 
Amini tu kaka niko kwenye mpira. Mashetani bakini nayo nyie bhana.
haya bana mpk sasa uingereza timu mbili tu ndo zina makombe ya kwaza man u(community shield) na mna cityCarling)
 
yani we acha tu mkuu unakuta wanakimbia mara washtue kijoti kdogo kumbe simba wameshaweka mtego halafu wale hawaoni rangi za wanyama
wana mbwembwe ila wamenyimwa akili kila kitu kuanzia akili,mapembe,nguvu meno makali.....
pole yake kwa kweli
 
Last edited by a moderator:
Afrika yoote ni kama huyu Mnyama, kama sio laana ujue hii Afrika ina makubwa Jinga matupu angalia pale CAR, watu wanauana etti tunasubiri Hollande aje kusaidia, huku ni kukosa akili!!! sisi tuna laana
 
sio laana mkuu ni kukosa akili tu na kujali maslahi binafsi kuliko utu wa watu coz kwangu mimi haingii akilini eti mtu yupo tayari zaidi ya watu 10000 wapoteze uhai ilmradi yeye abki kuwepo madarakani.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…