Gabhiteka Manji
Senior Member
- Apr 6, 2012
- 141
- 44
Rules and regulations on airing matusi, kashfa, extreme opinions and public broadcast of speech unbecoming of Tanzanian traditionists.Ni wapi imeandikwa kuwa commentators na shock jocks hawatakiwi kutoa maoni yao hewani?
Rules and regulations on airing matusi, kashfa, extreme opinions and public broadcast of speech unbecoming of Tanzanian traditionists.
Tanzania Communications Regulatory Authority.
Minister of Information, Youth and Culture.Nani anaamua hii ni extreme opinion unbecoming of Tanzanian "traditionists"
Ni wapi imeandikwa kuwa commentators na shock jocks hawatakiwi kutoa maoni yao hewani?
Ngabu acha hizo bwana.. usimtetee Kibonde maana anaegemea upande wa serikali.. Marekani kila jimbo ni tajiri kwa urithi wake, sio Tanzania kila kitu Dar-es-Salaam
Angeegemea CHADEMA mngelia kama mnavyolia humu au ndiyo kwanza mngemwagia misifa kedekede?
Huoni kwamba anaiharibia redio yake? Mtwara wakiisusia kisa wameitwa wapuuzi, si Clouds itakuwa imepoteza sehemu kubwa ya audience?
Kwa maoni yangu, hakupaswa kutoa maoni yake on air kama ilikuwa lazima ayatoe kwa style na lugha kama hiyo.
Kwa maoni yangu sioni ubaya wowote ule yeye kutoa maoni yake. Hata wanaomponda humu nao wanatoa maoni yao na hakuna anayedai JF ifungwe au watu wazuiwe kutoa maoni yao. Kila siku humu watu wanatumia lugha kali dhidi ya CCM na hakuna anayepinga. Lakini thubutu kuisema CHADEMA uone.
Kwa hiyo asiyependa maoni ya Kibonde basi na azime Clouds FM na afungulie Radio One, Magic FM, East Africa radio, Times FM, na kadhalika kama vile asiyependa JF ana uhuru wa kwenda kwenye blogu ya Le Mutuz, Sintah, Mange, au hata Da Jamilla aka Jestina Joji.
Of course msikilizaji anayo machaguo, kama hapendezwi na kipindi au hata redio fulani. Nimejiweka nafasi ya mmiliki wa Clouds, ambaye kama mfanyabiashara nahitaji wateja wengi; ndio maana nikaona Kibonde amekosea; lkn l am not so it shouldn't concern me kabisa.