Kiboko ya Karamagi na mrombo Mramba huyu hapa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kiboko ya Karamagi na mrombo Mramba huyu hapa!

Discussion in 'Jamii Photos' started by minda, Sep 16, 2010.

 1. minda

  minda JF-Expert Member

  #1
  Sep 16, 2010
  Joined: Oct 2, 2009
  Messages: 1,069
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  [​IMG]

  Mdogo huyu wa uswazi ameonesha ujasiri wa daraja la kwanza pale alipotamka bayana kwenye "Mr President" yake verse ya 3, inter alia:  ...Usihangaike kumtafuta Roma…mi!! Hakimu wa getho
  Mwenye sauti ya mamlaka!!! iliyomfikisha Mrombo Keko
  Baada ya kukemea ufisadi na sera za Karamagi
  Na waliokula jasho letu kwenye migodi ya Buzwagi...

  my take;

  je mchango wa huyu kijana na watanzania wengine wenye malalamiko dhidi ya utendaji wa kazi wa mramba na karamagi umechangia kuanguka kwao kisiasa kwenye uchaguzi 2010?
   
 2. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #2
  Sep 16, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,596
  Likes Received: 346
  Trophy Points: 180
  dogo yupo vizuri ile mbaya.......na amegoma nyimbo zake kutumiwa kwenye kampeni bila ridhaa yake!
   
 3. D

  Dick JF-Expert Member

  #3
  Sep 16, 2010
  Joined: Feb 10, 2010
  Messages: 477
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hivi anajisaidia haja kubwa, suruali imeshuka!
   
 4. Mpambalyoto

  Mpambalyoto JF-Expert Member

  #4
  Sep 16, 2010
  Joined: Mar 26, 2010
  Messages: 752
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni msimamo mzuri. Anatumia haki yake ya kimaslahi
   
 5. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #5
  Sep 17, 2010
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,812
  Likes Received: 796
  Trophy Points: 280
  ndivyo alivyo huyo.
   
 6. minda

  minda JF-Expert Member

  #6
  Nov 25, 2010
  Joined: Oct 2, 2009
  Messages: 1,069
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  je mchango wa huyu kijana na watanzania wengine wenye malalamiko dhidi ya utendaji wa kazi wa mramba na karamagi umechangia kuanguka kwao kisiasa kwenye uchaguzi 2010?
   
 7. Shomari

  Shomari JF-Expert Member

  #7
  Nov 25, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,104
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Swali ni kwamba Mchango wake, au maoni yake yanathaminiwa na serikali ya Kikwete?
   
 8. Idimi

  Idimi JF-Expert Member

  #8
  Nov 26, 2010
  Joined: Mar 18, 2007
  Messages: 9,546
  Likes Received: 1,460
  Trophy Points: 280
  Kiufupi namkubali sana Roma, ana mashairi ya 'kukera' wakubwa ile mbaya. Kuna track inaitwa Mr. President, na yenyewe imetulia sana.
   
 9. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #9
  Nov 26, 2010
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,849
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Ok!yuko safi kabisa!
   
 10. Gobegobe

  Gobegobe JF-Expert Member

  #10
  Nov 26, 2010
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 245
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Sijui nyimbo zake zingine, lakini mr. President naikubali sana.
   
 11. Tundapori

  Tundapori JF-Expert Member

  #11
  Nov 26, 2010
  Joined: Aug 12, 2007
  Messages: 516
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Hiyo ni kata K.
   
 12. coscated

  coscated JF-Expert Member

  #12
  Jan 17, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 1,327
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 160
  roma ni mwanaharakati wa ukweli.
   
 13. Mzalendo Mkuu

  Mzalendo Mkuu JF-Expert Member

  #13
  Jan 17, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 731
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Yes Kijana amefanya kazi kubwa sana. ule wimbo mashairi yake yamesimama vema sana. Ingawa kasi ya ule wimbo ni kubwa sana kiasi cha baadhi ya watu kushindwa kuelewa nini kinaongelea lakini kwa watu makini ujumbe wake ni mkubwa sana. Big up guy
   
 14. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #14
  Jan 17, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 36,240
  Likes Received: 14,481
  Trophy Points: 280
  hip hop weweeee
   
Loading...