Kiboko cha waisrael?

Israel is a blessed country, na wanaoilaani Israel God Himself will deal with them. Mnaohoji utatu wa Mungu just go and read the Bible it has all the answers kama hutaki hamna tatizo you can continue believing what you believe in peace.
 
wewe akili huna na biblia pia imekiri kama akili hamuna nkupa ushahidi ndani ya maneno mulioyaiba kwenye biblia

warumi 1.25 waliibadili kweli
wakorinto 15.12 mpka18 yesu hakufufuka
yohana 11.50,51,52 kuhani atabiri yesu atakufa
ukienda kwenye tito mumemwita yesu mungu mkuu.

sasana nakwambia kuwa yesu ni muislam sio mpiga gopi wala mkiristo ushahidi huu

waraka wa waibrania 5.7 yesu alimuomba mungu amtoe kwenye mauti na mungu akamsikiliza

marko 14.35 mpka 36 uesu alisujubu akaomba(kama hujui maana ya kifudifudi) uniepushe na kikombe

matayo 12.38mpaka40 yesu atajificha siku 3 duniani kama yoda alivyokuwa katika tumbo la samaki

yohana 12.36 yesu akajificha

matayo 13.57 nabii hakosi heshima( yesu ni nabii)

yohana 8.47 aliye wa mungu huyasikia ya mungu

`` 14.1 munamuamini niminini na mie(kma munamuamini mungu basi muaminini na nabii)

`` 6.45 na manabii wote wamefundishwa na mungu.(yesu kafundishwa na mungu)

ufunduo 22.9 wayasikiayo maneno ya nabii wamsujudie mungu ( yesu katumwa na mungu alimsujidia mungu, ibrahim , mussa , muhmade swa pia na wengine na sote tunaowafata tunamsujudia mungu)

yohana 11.41,42 watepate kusadiki yesu katumwa na mungu

luka 7.16 mungu ameletuletea nabii mkuu

yohana20.17 maneno ya yesu baba yangu baba yenu mungu wangu mungu wenu( ezi hizo watu mungu walikuwa wakimwita baba mpumbafu mkubwa we?)

ayoubu 41.33 mungu hakuna aliyefanana naye

sasa sikiliza nyie
yohana 8.44 baba yenu shetani

matendo 16.16,17 wafateni akina paulo watumishi wa mungu na huyu shetani anawatuma nyie (anayemfata shetani naye ni shetani kila mtu anafahamu hivyo)

LUKA10.17,18 ETI PEPO WANATUTII KWA JINA LAKO KUMBE MUMEDANGANYIKA

matayo 4.9,10yesu alipojaribiwa na shetani ili yesu amsujudue yesu akamjibu wa kusujidiwa ni mungu na wa kuomba yeye tu hakuna mwengie

luka 22.31mpaka34 muongoke shetani amewataka ( na hamkuongoka mpka leo watumwa wa shetani)

ufunuo 2.9 wasema uongo sinagodi la shetani

matendo 21.39paulo myahudi
`` 22.3paulo mrumi

tito1.13 yesu mungu mkuu ( nashangaa wakati yeye mwenyewe anamsujudia mungu hata quruani inaamini hivyo hapo mapofu vipi?)

matayo 12.23 mpka27 shetani ndio atawahukumu (maana yake maakaazi yenu ni pamoj na shetani)

matayo 16.23 akamwambia petro toka shetani wee (kwa maaana hiyo anayemfata petro na paulo wote ni watumwa wa shetani)

unajua maana ya mwamba? ( kama hujui unambie nikwambie)

nafikiria umeumeona kuwa quruani ni kitabu cha haki watu walioamini au maana yake ni uislam kila mtu anamsujudia mungu pamoja na yesu na manabii wengine

sasa nionyeshe wewe wapi yesu akapiga goti?
hapo utawaona akina paulo na petro pamoja na nyie?

chukua basi hiyo maneno ya yesu

maneno ya yesu

mie naondoka nanyi mtanitafuta nanyi mtakufa katika mizambi yenu.

ndio nyie makiristo ya uongo na mananii wenu wa uongo wachungaji na kuwadanganya na kuwafuta zambi kila wiki

hebu siku moja kamuulize mchungaji wewe una zambi ngapi? hajui ujue huyo ni muongo?

utawezaje kuondoa kitu usiokiona? akili potofu hizo

yesu alimfata mussa nyie mukasema taurati ina laana

wagalatia 3.5 kirto alitugomboa katika laana ya taurati.
hapa ni sawa na kumtukana mungu na kutukana maneno ya mungu ambayo hata yesu alisema anayafata wala hayataondoka

kitabu cha ayubu 1.22 wala ayubu hakumuwazia mungu kwa upumbafu

wakoristo 1.25 upumbafu wa mungu una hekima( mumemfananisha mungu na mpumbafu si ukafiri huo hata heshima hakuna)

ushawahi kulisikia adiko mungu atakuja kufanya ukahaba na watu wote wa ulimwengu? ndio waumini wenu wakafunga vibikira eti akifikia amalizie hapo kweny walio amini hakuna hayo ni matusi juu ya mola wa walioamini na walioamini miongoni mwao ni pia yesu naona nikalele.

alafu itafute historia ya israil uijue?
na baadaye historia ya ukiristo ulipotokea na kuanzi uijue ?
hata historia mapinduzi ya zanzibar huyajua?
hata hujui kwanini chama cha wakatoliki kikaitwa ccm?

hujui na hutajua na shetani atakuweka hivyo2 pofu mungu akakutie kwenye moto na wenzako.

Duh....Yesu alikuwa Muislamu?? basi na kina Ariel Sharon,Benyamin Netanyahu ni Waislamu wenzenu jamani......,maana nao wanasujudu kwenye dini yao ya kiyahudi(Judaism)!!

UKWELI NI KUWA.....Yesu alizaliwa Myahudi wa kabila la Yuda,na kama Wayahudi wa leo,walikuwa wanaabudu katika dini ya Kiyahudi kama Ibrahimu,Isaka,Yakobo baba zao na baba zetu Wakristo kwa ahadi,na Ndiyo maana YESU alisema WOKOVU UNATOKA KWA WAYAHUDI

Refer John 4:22 You worship what you do not know; we worship what we know, for salvation is from the Jews.

John 4:31 Meanwhile the disciples were urging him, saying, “Rabbi, eat.” 32 But he said to them, “I have food to eat that you do not know about.

Rabbi is the jewish spiritual teacher, the same as Chief Ashkenazi Rabbi of Israel today, Yona Metzger,

Jamani msikariri tu kwenye mihadhara ya watu wasiojua kusoma na wasiojua dunia inavyokwenda,hapa tupo JF,...msilete story za kwenye kahawa.
 
Mkuu,hiyo stori uwezekano wa kuwa kweli ni mkubwa sana. Ukiangalia hiyo sababu familia yake iliyoitoa ya kubadili jina haina akili.

Kitambo kidogo nilikuwa naangalia documentary moja ya BBC kuhusu passage ya Wayahudi ktk vitabu vya mwishoni vya Old Testament akina Nabii Esta na stori ya Mordechai et al..masalia ya wale mayahudi hadi leo wapo Iran na wanaendelea na taratibu zao na ni raia wa Iran. Walipohojiwa walidai Ahmedinejad ni kipenzi chao tu na wakati wa sherehe zao kiyahudi huwatuamiaga salamu za kheri na zawadi.
Nilisema mimi, wanakulana wenyewe kwa wenyewe.
 
Duh....Yesu alikuwa Muislamu?? basi na kina Ariel Sharon,Benyamin Netanyahu ni Waislamu wenzenu jamani......,maana nao wanasujudu kwenye dini yao ya kiyahudi(Judaism)!!

UKWELI NI KUWA.....Yesu alizaliwa Myahudi wa kabila la Yuda,na kama Wayahudi wa leo,walikuwa wanaabudu katika dini ya Kiyahudi kama Ibrahimu, Isaka, Yakobo baba zao na baba zetu Wakristo kwa ahadi,na Ndiyo maana YESU alisema WOKOVU UNATOKA KWA WAYAHUDI

Refer John 4:22 You worship what you do not know; we worship what we know, for salvation is from the Jews.

John 4:31 Meanwhile the disciples were urging him, saying, “Rabbi, eat.” 32 But he said to them, “I have food to eat that you do not know about.

Rabbi is the jewish spiritual teacher, the same as Chief Ashkenazi Rabbi of Israel today, Yona Metzger,

Jamani msikariri tu kwenye mihadhara ya watu wasiojua kusoma na wasiojua dunia inavyokwenda,hapa tupo JF,...msilete story za kwenye kahawa.
Yani wewe ndio mtupuuu...! Ibrahim myahudi!? Alafu wenzio badala ya kukushika mkono usipotee wanazidi kukuangamiza kwa kukuunga mkono! Dah wagala kibogo!

Yesu akawaambia, Hamkupata kusoma katika maandiko, Jiwe walilolikataa waashi, Hilo limekuwa jiwe kuu la pembeni; Neno hili limetoka kwa Bwana, Nalo ni ajabu machoni petu?
Kwa sababu hiyo nawaambia, Ufalme wa Mungu utaondolewa kwenu, nao watapewa taifa lingine lenye kuzaa matunda yake.
Naye aangukaye juu ya jiwe hilo atavunjika-vunjika; naye ye yote ambaye litamwangukia, litamsaga tikitiki.
Matth 21:42-44
 
Nilisema mimi, wanakulana wenyewe kwa wenyewe.

Wanakula nini? akina nani? acha kuendeleza chuki za waarabu dhidi ya mayahudi usizojua chanzo chake..Wewe unajifanya mkereketwa kumbe mwenzako Ahmedinajad anawachora tu anachekelea jino pembe mlivyo mabwege.

Kalagabaho
 
Naamini X-Pastor unajua tofauti ya MYAHUDI na DINI YA KIYAHUDI......

MYAHUDI ni mtu wa uzao wa Yakobo(Israel) mjukuu wa Ibrahimu bila kujali yupo dini gani,kuna wayahudi walio kwenye dini ya kiyahudi,walio waislam na walio wakristo!!

Ukristo ulianza baada ya Yesu kupaa mbinguni,na Uislam ulikuja takribani miaka 500 baadae,kabla ya hapo hawa wote tunao waita Mitume na Manabii wote waliabudu kwa misingi ya dini hii ya Ibrahimu na uzao wake kupitia Yakobo(dini ya kiyahudi).

Quran/Koran: Sura 5:21

[5:20] Recall that Moses said to his people (the Jews), "O my people, remember GOD's blessings upon you: He appointed prophets from among you, made you kings, and granted you what He never granted any other people.
[5:21] "O my people, enter the holy land (Israel) that GOD has decreed for you."
 
Yani wewe ndio mtupuuu...! Ibrahim myahudi!? Alafu wenzio badala ya kukushika mkono usipotee wanazidi kukuangamiza kwa kukuunga mkono! Dah wagala kibogo!

Yesu akawaambia, Hamkupata kusoma katika maandiko, Jiwe walilolikataa waashi, Hilo limekuwa jiwe kuu la pembeni; Neno hili limetoka kwa Bwana, Nalo ni ajabu machoni petu?
Kwa sababu hiyo nawaambia, Ufalme wa Mungu utaondolewa kwenu, nao watapewa taifa lingine lenye kuzaa matunda yake.
Naye aangukaye juu ya jiwe hilo atavunjika-vunjika; naye ye yote ambaye litamwangukia, litamsaga tikitiki.
Matth 21:42-44
Naamini X-Pastor unajua tofauti ya MYAHUDI na DINI YA KIYAHUDI......

MYAHUDI ni mtu wa uzao wa Yakobo(Israel) mjukuu wa Ibrahimu bila kujali yupo dini gani,kuna wayahudi walio kwenye dini ya kiyahudi,walio waislam na walio wakristo!!

Ukristo ulianza baada ya Yesu kupaa mbinguni,na Uislam ulikuja takribani miaka 500 baadae,kabla ya hapo hawa wote tunao waita Mitume na Manabii wote waliabudu kwa misingi ya dini hii ya Ibrahimu na uzao wake kupitia Yakobo(dini ya kiyahudi).

Quran/Koran: Sura 5:21

[5:20] Recall that Moses said to his people (the Jews), “O my people, remember GOD’s blessings upon you: He appointed prophets from among you, made you kings, and granted you what He never granted any other people.
[5:21] “O my people, enter the holy land (Israel) that GOD has decreed for you.”
 
Pure mashudu + samadi,

Nimekuuliza lete ushahidi ya kuwa Koran ni kitabu cha Mungu..sasa ona ulichokileta. Usianze kuleta conclusion kabla ya findings mkuu.

Nilijua tu hii hoja itakushinda.

Pole zako.

Nimeshakuelewa, naona wewe ni mbishana sio mtu anayetaka kujifunza mengi na kukubali yaliyo na kweli, nimekutolea mifano midogo tu inayoendana na ulimwengu, unapindisha uelewa, na nilijua ningekutolea kwenye qur-an ungesema aahhh hiyo si ndo ameandika muhammad(s.a.w),sasa hata hiyo inayoendana na mazingira yako hauielewi?,kweli zama za wenye macho hawaoni,masikio hawasikii, na wenye bongo hawatafakari ndo kimeanza. labda nikuelimishe kitu kimoja iruhusu akili yako iwe inapokea elimu ambazo ni sahihi kuliko kugandana na mambo hambayo hata ukiulizwa kidogo hadi utake roho mtakatifu akushukie ndo utoe jibu,pia usiwe katika wale ambao hawajui lakini wanaona wanafahamu,
 
Mkuu,hiyo stori uwezekano wa kuwa kweli ni mkubwa sana. Ukiangalia hiyo sababu familia yake iliyoitoa ya kubadili jina haina akili.

Kitambo kidogo nilikuwa naangalia documentary moja ya BBC kuhusu passage ya Wayahudi ktk vitabu vya mwishoni vya Old Testament akina Nabii Esta na stori ya Mordechai et al..masalia ya wale mayahudi hadi leo wapo Iran na wanaendelea na taratibu zao na ni raia wa Iran. Walipohojiwa walidai Ahmedinejad ni kipenzi chao tu na wakati wa sherehe zao kiyahudi huwatuamiaga salamu za kheri na zawadi.

Unajua Iran ilikuwa na mayahudi wengi kuliko nchi zingine hapo Middle East ukitoa Israel yenyewe, baada ya mapinduzi ya miaka ya sabini waliondoka.. wengi wao wakarudi israel, wengine wakaenda US na sehemu mbali mbali duniani. Kuna yule mbunge wa kiyahudi kwenye bunge la Iran naona kazi yake ni kuwaponda wayahudi tu.
 
Wanakula nini? akina nani? acha kuendeleza chuki za waarabu dhidi ya mayahudi usizojua chanzo chake..Wewe unajifanya mkereketwa kumbe mwenzako Ahmedinajad anawachora tu anachekelea jino pembe mlivyo mabwege.

Kalagabaho
Aliye kwambia Wiran ni Waarabu ni nani!
 
Unajua Iran ilikuwa na mayahudi wengi kuliko nchi zingine hapo Middle East ukitoa Israel yenyewe, baada ya mapinduzi ya miaka ya sabini waliondoka.. wengi wao wakarudi israel, wengine wakaenda US na sehemu mbali mbali duniani. Kuna yule mbunge wa kiyahudi kwenye bunge la Iran naona kazi yake ni kuwaponda wayahudi tu.

Kwa hiyo...!?
 
Naamini X-Pastor unajua tofauti ya MYAHUDI na DINI YA KIYAHUDI......

MYAHUDI ni mtu wa uzao wa Yakobo(Israel) mjukuu wa Ibrahimu bila kujali yupo dini gani,kuna wayahudi walio kwenye dini ya kiyahudi,walio waislam na walio wakristo!!

Ukristo ulianza baada ya Yesu kupaa mbinguni,na Uislam ulikuja takribani miaka 500 baadae,kabla ya hapo hawa wote tunao waita Mitume na Manabii wote waliabudu kwa misingi ya dini hii ya Ibrahimu na uzao wake kupitia Yakobo(dini ya kiyahudi).

Quran/Koran: Sura 5:21

[5:20] Recall that Moses said to his people (the Jews), “O my people, remember GOD’s blessings upon you: He appointed prophets from among you, made you kings, and granted you what He never granted any other people.
[5:21] “O my people, enter the holy land (Israel) that GOD has decreed for you.”
Swali langu kwako ni hili:

Ibrahim alikuwa Myahudi?
 
Unajuwa, wakati wa mfungo, mabucha ya kiti moto nyama huwa zinalala. We subiri wakifungua, ... lol

Max wewe ni kiboko kwani hukopeshi ukweli siku zote utabakia ukweli na utatuweka huru.Tusichoke kuwaelimisha ndugu zetu hawa ambao kweli bado haijawatembelea.
 
Max wewe ni kiboko kwani hukopeshi ukweli siku zote utabakia ukweli na utatuweka huru.Tusichoke kuwaelimisha ndugu zetu hawa ambao kweli bado haijawatembelea.

Kama unakumbuka wakati ule wa Ali alipokuwa Rais, jamaa walifanyaga maandamano pale magomeni mapipa, na kuvunja mabucha yote yanayo uza nguruwe, cha ajabu na kusikitisha, nyama zote za nguruwe zilipotea, na jamaa wakasahau kuiba mizani. lol.

Mkuu Ali akawasweka ndugu zake keko kwa viki mbili.
 
Aliye kwambia Wiran ni Waarabu ni nani!

Na nani amekwambia kuwa nimeambiwa ya kuwa wairan ni waarabu?

Kama kuwachukia wayahudi ni uarabu basi na wewe mmatumbi ni mwarabu pia :D :D

Dini yako muflis ndio inayohubiri chuki dhidi ya wayahudi na hilo ndio hasa chanzo cha wewe kuendeleza ligi ktk thread hii.. eti mwenyewe unajiita mkereketwa..lol
 
Back
Top Bottom