X-PASTER
JF-Expert Member
- Feb 12, 2007
- 11,610
- 1,810
...Kutokana na Wairan, wao wanadai eti mama yake Hitler alikuwa na ujews ndani yake. lol.
Wairan au bibi yake alikuwa anafanya kazi kwa myahudi akabakwa ndio akazaliwa baba yake na hitler.
Kisha akajifanya zaidi ya wajerumani wenyewe... Mshazoea kulana wenyewe kwa wenyewe... DECi type! lol!