Mkuu hapo division four na zero pia wanachaguliwa hvyo usife moyo.Naomba kuuliza wakubwa , ivi shule ya kibiti boys high School daraja la mwisho la kuchaguliwa kujiunga na kidato Cha tano ni lipi Kati ya 1 , 2 & 3?
Ayo Mambo ya kike mkuu au mwenyew unaona sifa akuna anae fagilia Mambo yako hayoMkuu hapo division four na zero pia wanachaguliwa hvyo usife moyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hapo division four na zero pia wanachaguliwa hvyo usife moyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwisho ni division three, ila inategemea na serikali imeamkaje siku hiyo sababu serikali yetu ni kinyongaNaomba kuuliza wakubwa , ivi shule ya kibiti boys high School daraja la mwisho la kuchaguliwa kujiunga na kidato Cha tano ni lipi Kati ya 1 , 2 & 3?
I [emoji38]Kaka utapost 2 na ww nakusubiria kwa hamu uone furaha ya kujibiwa pumba [emoji120][emoji120][emoji120]