Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 55,960
- 55,975
Bado kidogo utakaribishwa ugali bila mboga
hajafikiria tu bado, likimfika hili sijui ataandika tena.
Bado kidogo utakaribishwa ugali bila mboga
hajafikiria tu bado, likimfika hili sijui ataandika tena.
Nimefika kwa ndugu kama ugenini kanipokea vyema, nikaishi hapo siku za mwanzo na kawaida limoti ya tv ilikuwa ipo hapo sebuleni kwenye kabati, cha kushangaza baada ya kama wiki ile limoti ilihamishwa makao ikawa inakaa chumbani kwa kaka. Sasa sijui tatizo ni nn
Nitaandika tu maana matatizo kwa binadamu hayaishi
Kakuchoka. .ndo pakuhama sasaNimefika kwa ndugu kama ugenini kanipokea vyema, nikaishi hapo siku za mwanzo na kawaida limoti ya tv ilikuwa ipo hapo sebuleni kwenye kabati, cha kushangaza baada ya kama wiki ile limoti ilihamishwa makao ikawa inakaa chumbani kwa kaka. Sasa sijui tatizo ni nn