Wakazi wa eneo hilo historia yao inasikitisha, yaani mpaka leo bado hawatambuliwi kama raia wa Kenya. Watu hao waliletwa na mkoloni toka sudani ya kusini kwa sasa ili waje watumike kuzaliza mali za wakoloni, wamezaliana vizazi na vizazi, wakoloni wakaondoka na kuwaachia status ya ajabu isiyowapa uraia wa Kenya. Ngoja nikasoma tena desa langu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.