imekutumia ujumbe pmHizo kazi Kwa ubaruku, chimara, madibira, Rujewa na maeneo mengine yanye mashine zinapatikana. Changamoto ni kuwa wenyeji walishachukua nafasi hivyo ajitahidi kutokuchagua aina ya kibarua atafanikiwa. Akiwa na utambulisho uliokamilika na hana changamoto atokako tuwasiliane nimuunganishe.