Kibao hiki kipo wapi?

Ranks

JF-Expert Member
Oct 21, 2012
2,583
1,097
Waliulizwa wanafunzi bara Ulaya.,wengine walijibu Tan~sania wengine wakajibu Africa.
Je ni wepi waliokosa na ni wepi waliopatia?
Je yawezekana wote walipatia jibu?
images-932.jpeg
 
Kinaelekeza kwenye kilele cha mapenzi, unapoteza muda wako na gharama ukifika unagundua 'you was going nowhere'!!!!!
 
nowhere hapo kuna tafsiri 2 no where na unaweza kuisoma now here!
 
nowhere hapo kuna tafsiri 2 no where na unaweza kuisoma now here!
Let's say ni now here.,unausikiliazaje huu mziki wa democracy now here in our country na continent kwa ujumla?Kuna direction kweli au ndio tunaendeleza kichwa cha mwendawazimu?ambapo ndio kulekule NOWHERE.
 
Kinaelekeza kwenye kilele cha mapenzi, unapoteza muda wako na gharama ukifika unagundua 'you was going nowhere'!!!!!
Haitofautiani sana na Afrika na Tizii ikiwa ndani yake.,bila umoja imara tunafikiri tunakimbiza kumbe ndio tunazidi kuzama.
 
Back
Top Bottom