Kibanda aliteswa na majasusi!

hivi huyu jamaa alitesewa hapo hapo mbele ya nyumba yake au alichukuliwa na kuteswa sehemu nyingine? na picha ya gari yake iliyo vunjwa vioo unaweza kutuwekea.
na kipindi anatekwa au anapigwa mlinzi alikuwa bado hajafungua geti kwa muda wote huo? na hakuna majirani walio kuwa wana pita sehemu hiyo
 



Kuhusu harrassment ya Kabendera (hapo kwenye red - italics) Kabendera mwenyewe kakanusha katika statement yake wiki mbili zilizopita kwamba mengi hahusiki kabisa, na wala hakuwa behind ya watu wa uhamiaji kuiharrass familia yake. Taarifa yake hiyo ilichapishwa katika magazeti kadha.

In fact, mwenye kutaka kujua ni nani behind tukio hilo - amtafute ni nani alimlipia Kabendera nauli ya ndege kwenda UK -- kutestify against Mengi -- atapata jibu. Kuna kampeni kali ya mama mmoja wa kizungu against Mengi na hapa nchini anasaidiwa na mfanyabiashara mmoja maarufu wa asili ya Kiasia adui wa Mengi.
 
Kuhusu harrassment ya Kabendera (hapo kwenye red - italics) Kabendera mwenyewe kakanusha katika statement yake wiki mbili zilizopita kwamba mengi hahusiki kabisa, na wala hakuwa behind ya watu wa uhamiaji kuiharrass familia yake. Taarifa yake hiyo ilichapishwa katika magazeti kadha.

In fact, mwenye kutaka kujua ni nani behind tukio hilo - amtafute ni nani alimlipia Kabendera nauli ya ndege kwenda UK -- kutestify against Mengi -- atapata jibu. Kuna kampeni kali ya mama mmoja wa kizungu against Mengi na hapa nchini anasaidiwa na mfanyabiashara mmoja maarufu wa asili ya Kiasia adui wa Mengi.




Thats good to know...do you have this copy? Let people decide for themselves...we're just reporting what we find. Thanks much for clarification if that is true...
 
Msitupotezee wakti na lengo kwa kutuingizia habari za Mengi's and manji's, ....!? Back to topic
 
mi nimeshaogopa hadi kutoa coment hapa naona kama wataniua na mimi.

kaka ukiwaogopa hawa miungu watu basi waweza kufa kwa ukimwi au maleria mbu tu ambaye ang'oi kucha wa jicho lkn anaua'
 
:rockon:kwani huyo aliyemshika mgonjwa began(wa 2 kushoto) ni nani? mbona anaonekuwa na furaha sana? n kama mtu anafurahia jambo fulani alilokuwa akitamani sana litokee! naomba anaemfahamu anifahamishe
 
Hawa watesaji kwa vyovyote vile wanafungamana ama na wanasiasa ,ama wafanyabiashara wakubwa. TANZANIA si sehemu salama tena pa kuishi kwa amani.
 
Mkuu soma gazeti la Tanzania daima la leo...limeripoti taarifa toka hosipitali huko Afrika kusini, na wamesema ni risasi!
Uwe unanunua magazeti bwana!! tena hilo la miatano tu!

GAZETI. La tanzania daima limedanganya kwa sababu ripoti. Hiyohiyo imetolewa na magazeti tofauti na haikutaja kuwa jicho limeharibiwa na risasi, kweli hata mtoto mdogo huwezi mda nganya kuwa risasi iharibu jicho tu!! Kazi kwelikweli lakini ndo waandishi wetu hawa na wanajaribu kuupotosha umma ili kupindisha ukweli, lakini wanafahamu ukweli wa mambo na wanalo la kujibu
 
ala, kumbe inakuwa hivyo eh, nashukuru sana mwandishi kwa kutufungua akili wengine. tafsiri niliyopata mimi ni kuwa alitakiwa atoe siri anazozifaham kuhusu cdm, na watesaji wakijua kabisa kuwa wenye akili finyu watamhusisha mbowe na uteswaji au uuaji huo ikiwa wangefanikiwa.
enyi wana wa adam, msawatesa na kuwaua wenzenu mpaka lini? ni lazima mfanye hivyo ndio muishi? mbona watu wanaishi tu bila kufanya uovu kama mnaoufanya nyie? katika uovu wenu wote kumbukeni kuwa Mungu yupo, atawahukumu kwa haki, hamjajificha kama mnavyofikiri, jaribuni kuwa na hofu ya Mungu angalao hata kidogo tu. dhamira zenu zimekufa kabisa, mnawaza na kuishi tofauti sana na mategemeo yenu, hamtafika mnakofikiria kuwa mtafikamkabla uovu wenu haujafichuka.
 


acha ujinga wewe. kwani makala hiyo imeituhumu serikali?
 

mkuu, usipotoshe ukweli. hakuna sehemu katika makala hiyo imetaja kuwa anazo siri za cdm. huyo ni mwandishi wa habari aliyebobea na ni wazi kuwa anazo siri nyingi sana katika nchi hii zaidi ya siri ya cdm
 
Well said mkuu, ila huyu Kibanda ni msaliti, alimsumbua sana mwajiri wake pale Tanzania daima wakati anatumiwa na habari corporation. Dhambi ya usaliti lazima itakuandama.
 
Mpuuuuuuuuuuuuuuuuuz
Jenga hoja acha kuleta uharo, dhambi ya usaliti inamuandama Kibanda. Alimsaliti na kumchafua mwajiri wake pale Tanzania daima hakujua dhambi ya usaliti haimuachi mtu salama..! Safari hii ameingia choo cha kike mazima..!
 
Mbona un-conclude ya kuwa SSM haijahusika na hiki kipigo? Watu tunatafuta nani alifanya hii mambo halafu unasema SSM inampenda sana..!
 
Kulea haya maradhi kifo kitatuumbua. Mara nyingi watu wa aina hii huwarudia wanaowatumia, ipo mifano mingi.
 

Mkuu, uko sawa lkn!?
 
Huo ndio ukweli.tusijidanganye na hizi tumne.watatuambia aliangukiwa na kitu kizito.
 

Ndg yangu acha na chuki na kutoa allegation kubwa namna hiyo kwa mtu huku ukiwa hauna ushahidi, ni dhambi kwa Mungu, jitahidi kutumia hekima na busara katika maandishi yako, epuka kuwa mchonganishi kuandika kitu ambacho hauna uhakika nacho chenye kuleta madhara hasi kwa jamii. Kama ni siasa, siasa haiko hivyo.
 
mkuu nimekukubali sana ila hawa wahariri na waandishi kuna wakati wanajiingiza sana hatarini kutokana na kujihusisha na hawa mafioso,sasa unakuta yule mafia anampa dili sasa kama mhariri au mwandishi anakuwa na msimamo na wakati huo ameshaijua siri ya mafia huyo kinachotokea ni kumdhibiti sababu kashaijua siri yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…