Ni frustration hasa baada
ya mambo haya kutokea na kujirudiarudia bila hatua za kuonekana
kuchukuliwa. Nafikiri Mtanzania hawakuandika hivi ilipotokea kwa Yule
kiongozi wa madaktari - Ulimboka alipotekwa na kuteswa, lakini sasa
wameguswa na frustration zao zinaeleweka. Hii haina tofauti na Serkali
au Polisi inapoahidi kuchunguza na kuwakamata wahusika lakini haifanyi
hivyo, matokeo yake watu wanajenga dhana kuwa nao ni washiriki wa maovu
hayo.
uende uraya alafu tarime umuachie nani?
Kweli haijawa na makala hatarishi kwa serikali ila inapigia debe kundi lingine!! Mungu akituacha hai utaona vumbi la 2015 kama itapigia debe serikali basi ni serikali ya mtandao upi???? Bashe na Kibanda wamekuwa Habari Corporation kwa kazi moja kubw 2015!!! Watakuwa wanachuana na Habari Leo, Daily News, Uhuru na Mzalendo (kama lipo) na yale mengine yatakayokuwa yanajitokeza tu wakati wa uchaguzi!!! Siasa ni media!!! Itakuweka juu au itakuangusha chini!!! Kwa taarifa yako ndoa ya New Habari Corporation na serikali ilikufa na mwenye kampuni alisema wazi hataki siasa za majia taka tena!! He is not longer interested na Tanzania yenu!! ana tenda kubwa sana ya kujenga oil pipe line from Juba to one of East Africa Countries!!! Wewe subiri 2015 uone sulubisho la serikali ya awamu ya nne na mtu atakayekuwa swahiba wa huyu aliye madarakani!!
thanks.Ni frustration hasa baada ya mambo haya kutokea na kujirudiarudia bila hatua za kuonekana kuchukuliwa. Nafikiri Mtanzania hawakuandika hivi ilipotokea kwa Yule kiongozi wa madaktari - Ulimboka alipotekwa na kuteswa, lakini sasa wameguswa na frustration zao zinaeleweka. Hii haina tofauti na Serkali au Polisi inapoahidi kuchunguza na kuwakamata wahusika lakini haifanyi hivyo, matokeo yake watu wanajenga dhana kuwa nao ni washiriki wa maovu hayo.
ni kituko kama huyo mwandishi yuko very low kiasi hicho na hata huyo mhariri wa gazeti hilo. utarelay vipi kwenye mitandao ya kijamii? hafikirii hata yeye anaweza akasign up kama Ridhiwani Kikwete na kuupload na picha yake kabisa kuonyesha msisitizo na kutuma comment yoyote anayoitaka? kweli tunawandishi njaa na sio waandishi wa habari. du, pole.
ndo maana siku hizi sinunuagi magazeti. upuuzi mtupu.
Haya sasa wale "wanafiki" waliokuwa wakizusha upuuzi wao kuhusu mwajiri wake wa awali, watafakari taarifa hii!.
Kweli haijawa na makala hatarishi kwa serikali ila inapigia debe kundi lingine!! Mungu akituacha hai utaona vumbi la 2015 kama itapigia debe serikali basi ni serikali ya mtandao upi???? Bashe na Kibanda wamekuwa Habari Corporation kwa kazi moja kubw 2015!!! Watakuwa wanachuana na Habari Leo, Daily News, Uhuru na Mzalendo (kama lipo) na yale mengine yatakayokuwa yanajitokeza tu wakati wa uchaguzi!!! Siasa ni media!!! Kwa taarifa yako ndoa ya New Habari Corporation na serikali ilikufa na mwenye kampuni alisema wazi hataki siasa za majia taka tena!! He is not longer interested na Tanzania yenu!! ana tenda kubwa sana ya kujenga oil pipe line from Juba to one of East Africa Countries!!! Wewe subiri 2015 uone sulubisho la serikali ya awamu ya nne na mtu atakayekuwa swahiba wa huyu aliye madarakani!!
Acha kuota wewe, wapi umemsikia mwenyekiti wa madaktari akileta usumbufu baada ya kufanywa vibaya kule mabwepande? Zaidi zaidi Kibanda atakuwa na adabu ili hilo jicho lililobaki liendelee kuwepo..!
Hatukatai uhuru wa kusema ila ni uharaka wa RZ1 kutoa maoni yake hayo ukizingatia kwamba ule ushahidi uliotolewa na mwanaHalisi kuhusu ikulu kuhusika na mateso ya Ulimboka bado hayapata majibu. Mpaka leo vyombo vya dola havijatuambia Ramadhan Ighondu ni nani. Kwa muktadha huu nin rahisi mtu kuhisi RZ1 anataka kucover something.No suala hapa lazima liwe clear. Huyo RZ1 anao uhuru wa kusema kama ambavyo nyie pia mnasema.mbona hamkutaka wote waliojifanya wanajua ikulu ilivyomtesa ulimboka wakaisaidie polisi kiushahidi? Jambo sikubaliani na unyama aliofanyiwa kibanda lakin pia sitaki uhuru wa maoni udhibitiwe,watu waachwe waseme kama walivyosema ktk matukio mengi mengi yaliyopita.
Kweli nchi inajifanya kuwa iko mstari wa mbele kwa demokrasia kumbe ni kandamizi na udikteta tu!! Kwa nini tubake demokrasia? Waandishi wa habari wakiwemo editors ambao walitokea huko huko kwenye uandishi wa habari wanasaidia sana kuelimisha jamii, kuibua maovu ili mtu au nchi ijirekebishe, kutoa burudani, n.k. Sasa pale ambapo mtu anakosolewa tena kwa ushahidi badi hataki ila anachotaka ni kubaka demokrasia kwa ama kuua, kutesa au kutishia maisha ya mwandishi. Shujaa Kibanda, hata kama utabaki na jicho moja lakini bado utaandika na kuhariri habari!! You are a hero na historia itabaki kuwa historia. Pole sana mkuu Kibanda.
Hatukatai uhuru wa kusema ila ni uharaka wa RZ1 kutoa maoni yake hayo ukizingatia kwamba ule ushahidi uliotolewa na mwanaHalisi kuhusu ikulu kuhusika na mateso ya Ulimboka bado hayapata majibu. Mpaka leo vyombo vya dola havijatuambia Ramadhan Ighondu ni nani. Kwa muktadha huu nin rahisi mtu kuhisi RZ1 anataka kucover something.