Mtanzania wanajaribu kuungaunga stori...ukweli utabaki pale pale kuwa kibanda ameteswa na mwajiri wake wa zamani
Utaifakwanza = UdhaifukwanzaMtanzania wanajaribu kuungaunga stori...ukweli utabaki pale pale kuwa kibanda ameteswa na mwajiri wake wa zamani
mwajiri wake wa zamani si nasikia ni mwanasiasa na chama chao kina tawi la intelligency,ni wataalamu wa kuhack mawasiliano na mbinu kadhaa za kijasusi.Haya sasa wale "wanafiki" waliokuwa wakizusha upuuzi wao kuhusu mwajiri wake wa awali, watafakari taarifa hii!.
Dah kweli wewe ni kiboko na ninaamini kweli mmemfanyia kweli!! Iko hadharani sasa!! Kwa hakika akitoka ndiyo atakuwa mstari wa mbeli kwa kutumia kalamu yake!! Andika siku ya leo halafu uje ulinganishe na ninachosema!! Kibanda ataandika makala ya kufa mtu kuhusu tukio na ataendelea kuandika uozo wenu wa kubaka demokrasia!! Kwa nini mnamuogopa mwenzenu mtandao ule wa pili? Na atawakomesha maana SSM wengi wanampenda!!Acha kuota wewe, wapi umemsikia mwenyekiti wa madaktari akileta usumbufu baada ya kufanywa vibaya kule mabwepande? Zaidi zaidi Kibanda atakuwa na adabu ili hilo jicho lililobaki liendelee kuwepo..!
si lazima iwe hivo,kumbuka Bush senior akiwa mkurugenzi wa CIA miaka ya sabini ,alipokuwa rais Jimmy carter wa democratic alimwondoa bush madarakani 1976,bush alikua anapendwa na wana CIA wengi,cia ikamegeka mapande mawili na bush akaanza kampeni za chinichine ili carter asishinde uchaguzi awamu ya pili.wakati carter akimuunga mkono SHAH wa irani,CIA wa mtandao wa bush walipanga kumpiga chini so walimsupport Khomein mpaka akaingia madarakani.walichochea iran ikavamia ubalozi wa marekan na kukamata mateka wamarekani.juhudi za jimmy carter kutuma commandoo kuwaokoa (operation eagle claw)zikahujumiwa na CIA.Zilifail hiyo ilichangia jimmy carter kushindwa na Ronald Reagan katika uchaguzi uliofuata na George Bush akawa vice presdent.1980.kabla ya hapo jimmy carter baada ya kugudua hujuma hizo akawafuta kazi CIA 800 hapo mwaka 1979.Yaani kweli mtanzania ambalo ni gazeti la Kibanda liunganishe stori? Linasema ukweli!!!! Na ukweli ndiyo huo!! Kama kweli ingekuwa ni mwajiri wa zamani Mtanzania ni lazima lingeandika sana!!! Mtanzania ndilo la kuamini sana katika hii issue!! Habari ndiyo hiyo!! Kwani CDM wana uwezo wa kukomand intelligence ifanye kazi hiyo? Intelligence kwa kawaida inatumikia serikali iliyo madarakani kama ilivyo nchi zote duniani!! Leo hii intelligence ya Amerika iko kwa Domocrats, wakati Rais akiwa Republican nayo itaitumikia Republican!!
Unasemaje?Acha kuota wewe, wapi umemsikia mwenyekiti wa madaktari akileta usumbufu baada ya kufanywa vibaya kule mabwepande? Zaidi zaidi Kibanda atakuwa na adabu ili hilo jicho lililobaki liendelee kuwepo..!
Masuala ya uislamu na ukristu hayahusiki hapa, ishia hapohapo.Wakipelekwa US kufundishwa mbinu za kupambana na ugaidi tunafurahia kwani magaidi ni waislamu sasa mafunzo hayo ndivo yanavotumika dhidi ya raia
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Ni sawa mkuu ila ni kwa nadra sana. Majority huwa wanatumikia chama kilicho madarakani. Na ukiona wamemegeka basi jua kuna issue kubwa!! Dah ningeomba hawa wakwetu wamegeke ili waipige SSM chini? Hivi huko UWT ya Tanzania hakuna wanaopenda upinzani? Hawajachoshwa na porojo? Nataka ikatike mapande makubwa mawili!si lazima iwe hivo,kumbuka Bush senior akiwa mkurugenzi wa CIA miaka ya sabini ,alipokuwa rais Jimmy carter wa democratic alimwondoa bush madarakani 1976,bush alikua anapendwa na wana CIA wengi,cia ikamegeka mapande mawili na bush akaanza kampeni za chinichine ili carter asishinde uchaguzi awamu ya pili.wakati carter akimuunga mkono SHAH wa irani,CIA wa mtandao wa bush walipanga kumpiga chini so walimsupport Khomein mpaka akaingia madarakani.walichochea iran ikavamia ubalozi wa marekan na kukamata mateka wamarekani.juhudi za jimmy carter kutuma commandoo kuwaokoa (operation eagle claw)zikahujumiwa na CIA.Zilifail hiyo ilichangia jimmy carter kushindwa na Ronald Reagan katika uchaguzi uliofuata na George Bush akawa vice presdent.1980.kabla ya hapo jimmy carter baada ya kugudua hujuma hizo akawafuta kazi CIA 800 hapo mwaka 1979.
Nimeshangaa sana kwa gazeti la mtanzania kuandika makala km hii, na hili la kibanda liwe funzo hata kwa waandishi wengine kufichua uovu wote unaofanywa na serikali bila woga. Gazeti la mtanzania mwanzoni lilikuwa ni moja ya magazeti yaliyokuwa yanaitetea serikali na kuifichia maovu yaliyokuwa yanatendwa ila naona limeanza kubadilika baada ya mhariri wake kujeruhiwa
Wenzako wamefanya uchunguzi ndio wakaripoti, tupe na wewe uchunguzi wako.Mtanzania wanajaribu kuungaunga stori...ukweli utabaki pale pale kuwa kibanda ameteswa na mwajiri wake wa zamani
Dah kweli wewe ni kiboko na ninaamini kweli mmemfanyia kweli!! Iko hadharani sasa!! Kwa hakika akitoka ndiyo atakuwa mstari wa mbeli kwa kutumia kalamu yake!! Andika siku ya leo halafu uje ulinganishe na ninachosema!! Kibanda ataandika makala ya kufa mtu kuhusu tukio na ataendelea kuandika uozo wenu wa kubaka demokrasia!! Kwa nini mnamuogopa mwenzenu mtandao ule wa pili? Na atawakomesha maana SSM wengi wanampenda!!
Nyie mnaeshabikia ccm hayo n maandalizi tosha ya kuitawala nchi kimabavu baada ya kushindikana kwa demokrasia na kumbikeni huu ni mwanzo tu,mtu bila kuona aibu mnaenda kumpa pole
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
tangu lini magazeti ya new habari corporation yakawa na makala hatarishi kwa serikali? alimponda rostam, zen akahamia kwake na kuanza kumlamba miguu, usicheze na mwenye fedha weye,
ni kituko kama huyo mwandishi yuko very low kiasi hicho na hata huyo mhariri wa gazeti hilo. utarelay vipi kwenye mitandao ya kijamii? hafikirii hata yeye anaweza akasign up kama Ridhiwani Kikwete na kuupload na picha yake kabisa kuonyesha msisitizo na kutuma comment yoyote anayoitaka? kweli tunawandishi njaa na sio waandishi wa habari. du, pole.
ndo maana siku hizi sinunuagi magazeti. upuuzi mtupu.
serikal hii bora uende uraya kufanya kaz za ndan vnginevyo 2015, 2fanye change(CHADEMA)