Vin Diesel
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 9,087
- 6,390
Tafuta size yako.....
Tuliza boli dogo kazi na dawa tukiwa sirias muda wite utaichoka Jf soon au we mgeni humu?
ushauri mzuriUtangulizi: Pole sana kijana, huyo dada hakusikia chochote tangu siku ya mwanzo, huwenda alishindwa kukuambia kutokana na ugeni, kama kweli aliridhika basi ujue kuna mhogo ulipita baada yako na kutibua kila kitu ikiwa ni pamoja na historia ya kile ulichokifanya siku ya kwanza.
Alikumaliza siku alipokuuliza kama umeingiza yote, hivyo kukujengea kutokujiamini na kuhisi hukufanya kitu. Angekutia moyo haya yote yasingetokea, huwenda ungefanya vizuri zaidi, hofu humfanya mtu hata bunduki isisimame vizuri.
Chakufanya: Jiamini kwamba unaweza, fanya maandalizi ya kutosha kumkata kiu kabla hujaingiza bamia, kuridhika kwa mwanamke hakutegemei sana na ukubwa wa bunduki, ila uimara na ufundi katika kazi.
Tahadhali: Usihangaike na madawa, unaweza kufanikisha kuwa na mhogo ila ukawa legelege, ukajutia bamia yako imara. Utapoteza hata wapenda vibamia maana hawataweza kuvumilia bunduki isiyo strong hata kama ni ndefu.
Mi na shanga hivi kumbe kibamia plus power au energy ya kuhold au kuprolong ijakulation ni tofauti eeeh..
Ki anatomic nii ijuavyo k huwa ikisuguliwa effective huwa inacontract zile muscles huwa zina kuwa kama zinanyonya au kumumunya kitu, sasa mtu akiniambia story za kibamia huwa napata mgagasiko wa fikra..
Ushaur wangu kwa huyo jamaa na waloa wenye huo mfadhaiko, ni kuwa ni vigumu kubadilisha umbile esp hilo la penis na ndo maana mungu hakulipa muscle ila alilijengea tissues ambazo zina expand na kusinyaa kutokana na blood flow, lkn pia ili ile raha iwe ma dhubuti na na kusiwe na karaha au kero. Kinacho takiwa kwetu sisi wanaume ni ile concetration wakati wa tendo ili kuhimili lile tendo, pia kuzingatia lishe bora zenye kuongeza joto mwilini na kufanya mazoezi ya ku (breath). Yes breath (pumzi) ndo kila kitu ukiweza ku maintain hiki mwana hata kama una kibamia unaeza piga mchezo wa maana mpaka mdada akawa hoi na kisima chake.
Mwisho !
Mie sio mwandishi , wala siwez kutumia tachi screen hivyo muniwie radhi kwa uwasilishaji wangu.
mambo siku hizi ni tofauti, husipime kwa macho
katoto kabichi ,ukikafunua unaweza kupatwa na mshtuko wa moyo!
Naona umemuongezea mdau silaha atembee kifua mbeleUlimi...
Vidole...
Arousal foreplay..
She'll feel it...
Upo hapo...???