...Nilikuwa na ujenzi, nikapigiwa simu na fundi kuna jamaa wamefika wanataka kibali cha ujenzi, wasimamishe kazi mpka waone kibali, huku zege lishakologwa, kuongea nao wanataka laki 2, aiseee pambana mpka 70, nikawapa 50, nikawambia 20 watanidai... ...yaani kazi yao kupita mitaani kuangalia wapi kunajengwa wanachukua chambi chambi wanasepa.