Kibaki turns down S.A bid for AU top job

Rais Kibaki ana hoja ya kizalendo..ingawa baadhi ya wachangiaji mada wamepotosha na pia tumefahamau kwamba Baridii hatoki pangani akama anavyodai na Nairoberry anatamani serikali ya TZ iuzwe na kununuliwa na Kenya..a very so dreamy idea! Economic integration ni mwendo wa sasa na tunachohitaji ni Nia thabiti ya kuaminika ili tuwe na yumkini aminifu na mawazo ya Usultani na Ufamlme yatoweke kwa wale wenye ndoto hizo vingine EAC itaendelea kuwa ndoto ya mchana kwa vizazi viwili au vitatu vijavyo!! Nawaheshimu sana Wazee waasisi wa EAC... Mwalimu Nyerere aliwahi kusema.."It can Be Done Play Your Part" na Mzee Kenyatta alikuja na kaulimbiu "Harambee" -ilioamanisha Tushikamane na Kusaidiana Tujenge Nchi Yetu..Nakumbuka mpaka na wimbo uliosema harrambe harambe tuimbe pamoja ..tujenge nchi yetu ..Nchi yetu iende mbele!!! .. These are still the Inspirational words to make all of us forge ahead with what needs to be done and let all the **** talk out of this discussion forum.!
 
Ndo maana niko busy na duka yangu....tusitafute kuona nani ni superior hapa. Tungeweza kuleta hoja na kutafuta support kwa namna ambayo isingeleta discussions kama hizi. Ntaanzaje kuchangia hoja wakati mtu anasema lengo ni kutawala Africa? Nikawa najiuliza na Kagame naye utamtawala?
Well, Kenyans wanaweza kuwa wanataka kufanya hivyo. Ila mkianza kudharau majirani, kamwe hamtafika popote. Mnajua umoja ni nguvu na utengani ni udhaifu na ndio maana hata EAC inashindwa kutekeleza makubaliano mengi sababu ya shaka watu walionayo juu ya wakenya. Watakuja huku na kujidai wao ndio maboss wetu na hilo halitawezekana

Ashante!
Kenya ndio vijisababu vya kila kitu kuenda kombo EAC. Hata miti ikianguka bongo shida mkenya, matatizo yakitokea manyumbani binafsi mkenya! mvua ikikosa kunyesha, mkenya!! hamuwezi kuona past the defunct EAC? Kumbuka vitunguu vikiungua kwako usisahau ukataja mkenya!! Wakati huu tuko na IGAD COMESA kachukua nafasi ya EAC. Tunaaongelea kuhusu AU na SADC kuchukua AU ni kama kuleta ukoloni. Economic apartheid institution, Afrika bado imo na inafanya kazi. Lakini sio ile ya mwanzo bali Economic imperialism! Uliza EABL walivyofanywa hapo Afrika Kusini! Tuanzie hapo! ikiwa huna hoja la msingi na maana usithubutu kuandika!!
 
Mimi nadhani tunafaa tuangalie kwa undani credentials za ule anayeinigizwa kama mwenyekiti na ni nini ameweza kutekeleza na kufanikisha kwao. Mkenya is interested in regional intergration for economic prosperity. Ambao nadhani Tanzania na Uganda wanataka kuvuna kutokana na huu muungano na ruwaza ya mkenya. Kumbuka Makaburu wamefanya Afrika Kusini wakawa na economic liberty struggles kule kwao. katika EAC na COMESA, uliza yeyote atakwambia biashara ni mteremko. Hapo SADC wameerect barriers. Hapa EAC tumebakisha monetary intergration pekee yake. Cross-border trade kati ya mataifa ya EAC inanawiri. Hiyo pekee imetosha kukueleza hapa Afrika Mashariki licha ya kuchukuliwa maskini kuna potential, kuwa misingi thabiti imo. Lakini hoja linapingwa vikali na wengi wasio na fahamu kuhusu umuhimu wa EAC. Wanafikiri mkenya anaingia na msingi ya kidictator. Tafadhali give economic reforms a chance.

Nakubaliana na wewe...when two parties come to table for a serious discussion, they should be honest to each other. Mtu akishaanza kufikiria kunizidi maarifa ili achukue changu kwa hila ama ujanja ujanja unafikiri mimi ntaamua nini? Kenyans wanatuhitaji watu wote wa east africa maana hawawezi kufika popote peke yao. Tena nchi zote za east africa zina opportunities sawa ingawa nyingine bado opportunities hizo hazijaendelezwa. Kama kweli wanataka kufanya regional intergration, lazima heshima iwepo....vinginevyo waende zao kama wanaona they can do it alone.
 
kABARIDI

Sina tatizo na msukumo wa Kibaki kwa ajili ya Kenya, but if it is a REGIONAL POSITION, THEN THE ISSUE SHOULDNT BE NI MKENYA BUT 'HE GOT ALL THE NECESSARY QUALIFICATIONS THAN ANY OTHER CANDIDATE'! :eek2:TAKE IT FROM ME KWA MTAZAMO HUU TUNAWEZA KUSONGA MBELE OTHERWISE BASI KILA NCHI IJITAWALE NA KUENDESHA MAMBO YAKE BILA KUHITAJI REGIONAL INTEGRATION KAMA MTAZAMO WETU UKO VERY NARROW LIKE THAT! i AM NOT CONVINCED BWANA KABARIDI! :redface:
Unaona hapa ndio tunakwamia. kwanini tusipeana a chance kwa mkenya, Nini kinakwambia hata SA wakiingia kwenye hicho kiti, hawatajaribu kusukuma interest zao. .
 
Back
Top Bottom