Nyani Ngabu Platinum Member Joined May 15, 2006 Posts 97,152 Reaction score 137,155 Mar 18, 2013 #1 Lol...yaani hata aibu hakuna. Hebu ona hii swearing-in. Kama kweli hukuiba kura kwa nini ule kiapo uani kwa haraka haraka hivyo? Hahahaaa you can't make this stuff up. Just classic material. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Lol...yaani hata aibu hakuna. Hebu ona hii swearing-in. Kama kweli hukuiba kura kwa nini ule kiapo uani kwa haraka haraka hivyo? Hahahaaa you can't make this stuff up. Just classic material.
Nguruvi3 Platinum Member Joined Jun 21, 2010 Posts 16,314 Reaction score 33,808 Mar 18, 2013 #2 Akiwa na mkewe na judge pamoja na walinzi wawili. Halafu akaachiwa tu! Nashangaa hata the Hague hawakuona hili jambo
Akiwa na mkewe na judge pamoja na walinzi wawili. Halafu akaachiwa tu! Nashangaa hata the Hague hawakuona hili jambo
Mwakalinga Bujo JF-Expert Member Joined Oct 22, 2008 Posts 2,718 Reaction score 1,443 Mar 18, 2013 #3 History imendikwa
Nyani Ngabu Platinum Member Joined May 15, 2006 Posts 97,152 Reaction score 137,155 Mar 18, 2013 Thread starter #4 Nguruvi3 said: Akiwa na mkewe na judge pamoja na walinzi wawili. Halafu akaachiwa tu! Nashangaa hata the Hague hawakuona hili jambo Click to expand... Ain't that something? Indeed sometimes facts are stranger than fiction!
Nguruvi3 said: Akiwa na mkewe na judge pamoja na walinzi wawili. Halafu akaachiwa tu! Nashangaa hata the Hague hawakuona hili jambo Click to expand... Ain't that something? Indeed sometimes facts are stranger than fiction!
Nguruvi3 Platinum Member Joined Jun 21, 2010 Posts 16,314 Reaction score 33,808 Mar 18, 2013 #5 Nyani Ngabu said: Ain't that something? Indeed sometimes facts are stranger than fiction! Click to expand... No doubt about that. Kivuitu aliulizwa nani kashinda uchaguzi? He simply said ''he does'nt know''. Huyu ndiye mwenyekiti wa tume ya uchaguzi. Mzee kamwita Judge usiku na kula kiapo, tayari amir jeshi mkuu! Kwanini the Hague wamemuacha?
Nyani Ngabu said: Ain't that something? Indeed sometimes facts are stranger than fiction! Click to expand... No doubt about that. Kivuitu aliulizwa nani kashinda uchaguzi? He simply said ''he does'nt know''. Huyu ndiye mwenyekiti wa tume ya uchaguzi. Mzee kamwita Judge usiku na kula kiapo, tayari amir jeshi mkuu! Kwanini the Hague wamemuacha?
Nyani Ngabu Platinum Member Joined May 15, 2006 Posts 97,152 Reaction score 137,155 Mar 18, 2013 Thread starter #6 Haya, hebu contrast na hii public swearing in ya 2002. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016