Wezi wanaingia vyuoni kwa style nyingi sana, wengine wanajifanya wanafunzi, wengine Wanazuga wauza vitu ila mwisho wa siku wanakwapua mali za wanafunzi.
Wezi sina huruma nao, mtakumbuka tukio la mwana UDSM mmoja kuuwawa na wezi wenye silaha za moto ni kati ya mwaka 2012/2013 kwenye madarasa ya Yombo 1-3 hapo UDSM.
Vijana wenzetu hawana huruma wako tayari wakutoe uhai kisa laptop ya laki tano unayotumia kusoma, sasa kama wanakua na ukatili kiasi hiki sisi huruma ya nini?
Mwizi anastahili adhabu tu.
Any way aliyekufa ni binadamu.
R.I.P KAKA MWIZI