Kibaka apatikana

duh mbona wote wazee aise
sasa hapo mwenye afya ndio mbabe
 
Hawa mbona kama wanajuana mambo yao mmoja ameamua kumgeuka mwenzake!!!
 
Nilisoma haraka nikafikiri unasema "Kibaki atatikana.?
 
Pombe si chai..hao wako tingasi tu hakuna la zaidi
 
Wanakumbushia enzi zao walipokuwa wanafanya kazi bandarini.
 
duh mbona wote wazee aise
sasa hapo mwenye afya ndio mbabe

Kweli mwenye fani hastaafu! Yaani KIBAKA MZEE? Hii hatari sasa maana hata wachoma moto watakuwa walimuonea huruma!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…