Mapolomoko
JF-Expert Member
- Feb 16, 2013
- 1,751
- 422
Unatoka kunoa panga mchana, njiani unapigiwa simu wakati unapokea kibaka akaikwapua na kuanza kukimbia kibaka mwenyewe ni zeruzeru CM ni ya m.1, je, utamfukuza na pangarako au utauchuna na kupotezea?