Kibajaji amlipua Dkt. Bashiru anakerwa na nini?

Kibajaji amlipua Dkt. Bashiru anakerwa na nini?

Bashir ana stress tu Hana lolote. Amemiss vyeo alivyovikwa Hadi akasaliti taaluma yake, amemiss upigaji na manufaa aliyojitwalia ndani ya Chama.
Ajue hizi nyakati nyingine. Ajitahidi ku relax, ikishindikana ajinyonge.
 
Mbunge wa Mtera Livingstone Lusinde ameibuka na kuuliza mbunge wa kuteuliwa viti maalum na Rais, Dkt Bashiru anakerwa na nini kuhusu wakulima ikiwa yeye ni mteule wa Rais ambaye anatakiwa kusimamia sera za Rais. Labda Bashiru anaugua kichaa cha akili.
Kwanini kila kitu lazima Lusinde atoe comments? Kwani na yeye anakereketwa na na nini?
Wanasiasa watu wa ajabu sana. Hawataki hoja mbadala. Wanapenda kila mtu awe mtu wa kusema yes sir. Sio afya kwa ustawi wetu
 
Dkt Bashiru anakerwa na nini kuhusu wakulima ikiwa yeye ni mteule wa Rais ambaye anatakiwa kusimamia sera za Rais.
Rais ana sera?, ninachojua Rais anaendesha nchi kwakutumia Ilani ya chama, sera zilizopitishwa na serikali huku akitumia Katiba ya nchi na sheria zilizopitishwa na bunge.

Katika Ilani ya Chama, hakuna ukurasa wowote wenye maneno ya kutimiza wananchi, ama wabunge wakuteuliwa wameagizwa kusifu kwa lugha za anatupiga mwingi na mengine kama hayo.

Kikubwa kabisa hakuna mahali kwenye sheria zilizopitishwa na bunge ama Ilani ya chama inawataka wakulima waliokuwa wanahutubiwa na Dr Kakurwa wasifu kwa mtindo wa anatupiga mwingi.

Mheshimiwa Lusinde arejee maelezo yake na kile anachokitetea.
 
Kwa hiyo unasimamia sera za raisi hata kama unaona zinawaumiza watu au hazileti matokeo?
Hio ndio TZ
Ogopa ongezeko la Wajinga Machawa kila nyanja mpaka WABUNGE
20221104_231648.jpg
 
Mbunge wa Mtera Livingstone Lusinde ameibuka na kuuliza mbunge wa kuteuliwa viti maalum na Rais, Dkt Bashiru anakerwa na nini kuhusu wakulima ikiwa yeye ni mteule wa Rais ambaye anatakiwa kusimamia sera za Rais. Labda Bashiru anaugua kichaa cha akili.

Ile kauli ya mzee wa "wee uliona wapi"kuwa huku tuendako wataparuana wenyewe kwa wenyewe ndio inatimia sasa
 
Mbunge wa Mtera Livingstone Lusinde ameibuka na kuuliza mbunge wa kuteuliwa viti maalum na Rais, Dkt Bashiru anakerwa na nini kuhusu wakulima ikiwa yeye ni mteule wa Rais ambaye anatakiwa kusimamia sera za Rais. Labda Bashiru anaugua kichaa cha akili.
Safi sana Kibajaji
Mteuliwa wa Rais anapaswa kusimamia sera za Rais hata kama sera hizo zinakwamisha maendeleo ya nchi.

Hii ndo CCM ambayo ipo hapo kwa nguvu za dola na siyo nguvu za wakulima.na wafanyakazi
 
Mbunge wa Mtera Livingstone Lusinde ameibuka na kuuliza mbunge wa kuteuliwa viti maalum na Rais, Dkt Bashiru anakerwa na nini kuhusu wakulima ikiwa yeye ni mteule wa Rais ambaye anatakiwa kusimamia sera za Rais. Labda Bashiru anaugua kichaa cha akili.
Yule mama ambavyo hapendi kusimangwa hadhrani.bashiru jiandae kuwa katibu tawala mkoa wa njombe
 
Mbunge wa Mtera Livingstone Lusinde ameibuka na kuuliza mbunge wa kuteuliwa viti maalum na Rais, Dkt Bashiru anakerwa na nini kuhusu wakulima
Binadamu yoyote mwenye akili na utu lazima atakerwa na hali za wakulima, nadhani hata bendera ya chama chao ina jembe sio kwa bahati mbaya bali kuonyesha umuhimu wa huyu mkulima (peasant)
ikiwa yeye ni mteule wa Rais ambaye anatakiwa kusimamia sera za Rais. Labda Bashiru anaugua kichaa cha akili.
Kwahio Sera za Rais ni kutokujali wakulima ?

Na inabidi kutetea Taasisi ya Urais au individual Samia ? Sababu both are not necessarily the same; huenda Samia hatendei haki Taasisi...
 
Mbunge wa Mtera Livingstone Lusinde ameibuka na kuuliza mbunge wa kuteuliwa viti maalum na Rais, Dkt Bashiru anakerwa na nini kuhusu wakulima ikiwa yeye ni mteule wa Rais ambaye anatakiwa kusimamia sera za Rais. Labda Bashiru anaugua kichaa cha akili.
Mi sijaona kosa la Bashiru
 
Kwa nini hiyo clip usiiweke wewe?.
He who aleges, must prove!. Ulileta kitu humu, leta kitu kamili!.
P
Ushaiona alafu hapo unajifanya hujaiona....mtoto wa maghorofani drive in unaniangusha
Ila Acha waparuane tu ndiyo siasa zilivyo,unafki mwanzo mwisho

Ova
 
Mbunge wa Mtera Livingstone Lusinde ameibuka na kuuliza mbunge wa kuteuliwa viti maalum na Rais, Dkt Bashiru anakerwa na nini kuhusu wakulima ikiwa yeye ni mteule wa Rais ambaye anatakiwa kusimamia sera za Rais. Labda Bashiru anaugua kichaa cha akili.
huyo lusinde ni mjinga kama majinga mengine ya ccm humu jf yeye anawezaje kuquestion maon ya Bashiru as if yeye pekee na wajinga wenzie huko lumumba ndo wenye haki ya kuongea, namshauri kama yeye anapendezwa na hali ya maisha ya watanzania kwa sasa aendelee kusifia ujinga walionao mambulura wengi huko ccm lakin majibu 2025 watayapata. Bashiru shikilia hapohapo mpaka mataga ya lumumba yatage.
 
Mimi ni Tomaso, siamini haya ni maneno ya mbunge wa CCM, mpaka nione clip na kuyasikia kwa masikio yangu mwenyewe!.
P

Unasubiri hayo ya huyo mbunge wakati wanaccm kibao wanamshambulia Kakurwa kama wamelewa pombe. Hii ndio demokrasia ndani ya CCM. Huwa mnaigiza mna demokrasia lakini huu uchafu ndio CCM halisi. Acha karma imkute Bashiru maana aliendesha siasa za kishenzi sana kipindi cha Magufuli.

Halafu ukipata nafasi muulize Bashiru imekuwaje tena, wakati alipopewa ukatibu mkuu wa CCM alisema hicho ni cheo chake cha mwisho na hahitaji kingine, lakini akapewa ukatibu mkuu kiongozi na bado akakubali. Na sasa amepewa ubunge wa viti maalum anagombea kuuliza maswali ya nyongeza. Mbona haachi? Mtu mnafiki wa aina yake acha atukanwe tu.
 
Ushaiona alafu hapo unajifanya hujaiona....mtoto wa maghorofani drive in unaniangusha
Ila Acha waparuane tu ndiyo siasa zilivyo,unafki mwanzo mwisho

Ova
Amini nakuambia, sijaiona!.
Japo kweli mimi ni mtoto wa maghorofani ila tuko two types za watoto wa maghorofani, kuna wale mayai na wagumu!, mimi ni wagumu!.
P
 
Acha karma imkute Bashiru maana aliendesha siasa za kishenzi sana kipindi cha Magufuli.

Halafu wakati alipopewa ukatibu mkuu wa CCM alisema hicho ni cheo chake cha mwisho na hahitaji kingine, lakini akapewa ukatibu mkuu kiongozi na bado akakubali. Na sasa amepewa ubunge wa viti maalum
Ubunge wake sio wa vitu maalum, ubunge wake ni wa kuteuliwa ili kumsaidia rais. Vitu maalum ni kwa watu maalum kwa kazi maalum!.
P
 
Back
Top Bottom