Kibajaji amlipua Dkt. Bashiru anakerwa na nini?

Kibajaji amlipua Dkt. Bashiru anakerwa na nini?

Ubunge wake sio wa vitu maalum, ubunge wake ni wa kuteuliwa ili kumsaidia rais. Vitu maalum ni kwa watu maalum kwa kazi maalum!.
P

Nionyeshe alipigiwa kura wapi. Kama aliahidi ukatibu mkuu wa CCM ni cheo chake cha mwisho, lakini bado anang'ng'ania hadi vyeo vya ya kuokoteza basi hana maana ni mshenzi fulani.
 
Back
Top Bottom