MANKA MUSA
JF-Expert Member
- Jul 9, 2014
- 923
- 1,101
For every action, there is an equal and opposite reactionMbunge wa Mtera Livingstone Lusinde ameibuka na kuuliza mbunge wa kuteuliwa viti maalum na Rais, Dkt Bashiru anakerwa na nini kuhusu wakulima ikiwa yeye ni mteule wa Rais ambaye anatakiwa kusimamia sera za Rais. Labda Bashiru anaugua kichaa cha akili.
Ndio kumekucha sasa...yajayo yafurahishaMbunge wa Mtera Livingstone Lusinde ameibuka na kuuliza mbunge wa kuteuliwa viti maalum na Rais, Dkt Bashiru anakerwa na nini kuhusu wakulima ikiwa yeye ni mteule wa Rais ambaye anatakiwa kusimamia sera za Rais. Labda Bashiru anaugua kichaa cha akili.
Mimi ni Tomaso, siamini haya ni maneno ya mbunge wa CCM, mpaka nione clip na kuyasikia kwa masikio yangu mwenyewe!.Mbunge wa Mtera Livingstone Lusinde ameibuka na kuuliza mbunge wa kuteuliwa viti maalum na Rais, Dkt Bashiru anakerwa na nini kuhusu wakulima ikiwa yeye ni mteule wa Rais ambaye anatakiwa kusimamia sera za Rais. Labda Bashiru anaugua kichaa cha akili.
Kwa hiyo unasimamia sera za raisi hata kama unaona zinawaumiza watu au hazileti matokeo?Mbunge wa Mtera Livingstone Lusinde ameibuka na kuuliza mbunge wa kuteuliwa viti maalum na Rais, Dkt Bashiru anakerwa na nini kuhusu wakulima ikiwa yeye ni mteule wa Rais ambaye anatakiwa kusimamia sera za Rais. Labda Bashiru anaugua kichaa cha akili.
Sema kimeumanaMbunge wa Mtera Livingstone Lusinde ameibuka na kuuliza mbunge wa kuteuliwa viti maalum na Rais, Dkt Bashiru anakerwa na nini kuhusu wakulima ikiwa yeye ni mteule wa Rais ambaye anatakiwa kusimamia sera za Rais. Labda Bashiru anaugua kichaa cha akili.
Ndio Katiba wanayotaka. Wacha iwanyoshe kwanza hao maccm wenyeweKwa hiyo unasimamia sera za raisi hata kama unaona zinawaumiza watu au hazileti matokeo?
Hio ndio TZ
Kwanini huamini Mkuu??Mimi ni Tomaso, siamini haya ni maneno ya mbunge wa CCM, mpaka nione clip na kuyasikia kwa masikio yangu mwenyewe!.
P
Hatari sanaaFor every action, there is an equal and opposite reaction
Newton's third law of motio-polical in Tanzania
Ingia YouTube search kibajajiMimi ni Tomaso, siamini haya ni maneno ya mbunge wa CCM, mpaka nione clip na kuyasikia kwa masikio yangu mwenyewe!.
P
Mimi pia ni Tomaso ndugu yangu. Hiyo clip iko wapi?Mimi ni Tomaso, siamini haya ni maneno ya mbunge wa CCM, mpaka nione clip na kuyasikia kwa masikio yangu mwenyewe!.
P
Ndiyo wanasiasa walivyo wanasiasa wote wanafkiKibajaji ni Mmoja ya wabunge wachumia tumbo, yeye Huwa anageuka kufuata uvumi wa upepo.
Wakat wa Magufuli , alivyokua sasa
Siamini kwasababu maneno hayaKwanini huamini Mkuu??
ni makali sana, na hii lugha, sio lugha ya kibunge, ni lugha ya kijiweni!.Mbunge wa Mtera Livingstone Lusinde ameibuka na kuuliza Dkt Bashiru anaugua kichaa cha akili.
Kwa nini hiyo clip usiiweke wewe?.Ingia YouTube search kibajaji
Utaipata
Ova