Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,976
- 13,435
Kibabu:we binti naomba niangalie uchi wako.
Binti:he! we mzee mshenzi nini? huna hata aibu kutamka maneno haya katika nyumba ya ibada?
Kibabu:wewe ndio mshenzi humuogopi Mungu wako mpaka unaamua kuingia na uchi wako kanisani?
Nalog off