kiba avunja record 2016/2017

isho_boy

JF-Expert Member
Sep 22, 2015
2,145
1,892
Kiba ndio msanii aliyevunja record ya kuahirisha show baada ya tamasha lake kuhudhuriwa na watu wachache sana kupita maelezo....

Show ikaja kurudiwa lakini nayo haikuwa kama ilivozaniwa mahudhurio yakawa chinii sana.....hii ndo rekodi kali kutoka kwa king kiba
 
muda wangu wa mapumziko huu ila pia sipendi kufuatilia mambo ya wanaume kama wewe make ni zile tabia ambazo Makonda kazikataa au unataka nawewe N/W wa afya akutimie wito
Unajua kuwa ww ndo umekosa kazi ya kufanya, mpk kuja kuchangia kwenye mada ambayo unahisi ww haikufai in any means inadhihirisha ni kiasi gani upeo wako ni mdogo
 
Ma house boy wa mondi utawajua tu yaani kila siku kujipendekeza kuleta nyuzi za bosi wao humu ili waongezwe mishahara
 
Saivi akina hao ama akina nyinyi mpumzike tu tuna deal na hot issues trending in the country right now, drugs,
na sio mambo yenu hayo ya U-TIMU..subirini hadi mwezi wa 6 hivi
 
Bado nashangaa vijana/wazee kuhangaika kunena mabaya ya watu waliojiajiri ama hata kuajiri kwa kutumia vipaji vyao....

Wangapi wana vipaji na bado wanalia serikali iwape ajira?

Mwache Ally avune alichokipanda..
 
Kiba ndo msanii aliyevunja record ya kuahirisha show baada ya tamasha lake kuhudhuriwa na watu wachache sana kupita maelezo....

Show ikaja kurudiwa lakini nayo haikuwa kama ilivozaniwa mahudhurio yakawa chinii sana.....hii ndo rekodi kali kutoka kwa king kiba

Kama kiba kavunja rekodi hiyo nani kavunja bikira ya dadaako
 
Bado nashangaa vijana/wazee kuhangaika kunena mabaya ya watu waliojiajiri ama hata kuajiri kwa kutumia vipaji vyao....

Wangapi wana vipaji na bado wanalia serikali iwape ajira?

Mwache Ally avune alichokipanda..
Na kweli anavuna alichopanda cyo kwa kutuaibisha ivo
 
Back
Top Bottom