Kiatu design mpya kwa ajili ya kina dada

Barakaeli174

Senior Member
Aug 2, 2015
171
142
Dada zangu hiki kiatu kimetoka kiwandani Ijumaa ya juzi karibuni mniungishe bei ya jumla ni sh 19,500 na rejareja sh 24,000.
1488700260182.jpg
Namba zilizopo ni 34-40 haipungui karibuni mniungishe
 
Back
Top Bottom