Ugali wa muhogo na kimoro!Safi na wewe karibu pande za huku butihama tugonge huu mlo.
ugali ni mwekundu huo.wa mtama nadhani.Ugali mweusi, kitoweo cheusi, walaji weusi, mpaka raha yaani.
Duu!kweli ki home home!!mkuu hiyo mboga nyeusi hapo kulwenye bakuli mbele ya ugali ni mboga gani
Mbona hiyo mikono ni meusi kuliko ugali wenyewe[emoji15] [emoji15]Safi na wewe karibu pande za huku butihama tugonge huu mlo.
Hii ni ya butiama kweli mkuu!! siyo sudan kusini?Safi na wewe karibu pande za huku butihama tugonge huu mlo.
[emoji15] [emoji15] [emoji87] [emoji87] [emoji85] [emoji85] [emoji85]Na kinye cheusi [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji15] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hii ni ya butiama kweli mkuu!! siyo sudan kusini?