Kiapo cha damu kwenye mapenzi!

Kiapo cha damu si kizuri hata kidogo, maana mnakua mnaweka agano!!

Kuna mwanamke alitaka kuweka kiapo cha damu na mimi, nilitoka nduki vibaya sana hadi nikapitiliza mtaa!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mkikosa hela ya kuhonga mnajitoa damu? Upcoming Bongo artist umetisha! Tukutane jioni pale kwa baa ya Irene Uwoya Sinza karibu na Wanyama Hotel
 
Mkikosa hela ya kuhonga mnajitoa damu? Upcoming Bongo artist umetisha! Tukutane jioni pale kwa baa ya Irene Uwoya Sinza karibu na Wanyama Hotel
Mkuu nani kakosa pesa Ya kuhonga?,kwani kuna Sehemu Nimesema Aliniomba pesa nikakosa ya kumpa?ulichokisema Hapo Haki husiani na nilichokieleza au unatafuta Kiki mkuu?
 
Kiapo cha damu au ulijijeruhi ili uoneshe kua unampenda I don't knw kumtamani. Binafsi cjaona hilo tendo kama linaqualify kuitwa kiapo.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Singapore=Singida?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…