kingukitano
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 1,971
- 496
- Thread starter
- #101
''Pilipili usoila inakuwashia nini''? Utumwa na Uarabu ukirudi utarudi Zanzibar na siyo Tanganyika.,
Utahatarisha usalama wetu kwani wanaajenda ya uovu
''Pilipili usoila inakuwashia nini''? Utumwa na Uarabu ukirudi utarudi Zanzibar na siyo Tanganyika.,
Kama huelewi uliza utaelimishwa nani kakuambia serikali 3 ni kuvunja muungano!. Kalaghabaho na maccm yenu.
kama warioba akafie mbele wewe kafie nyuma mkeo akafie katikati
kwa taarifa yako sasa hakuna kura ya wazi ya kinafki ni ya siri muungano serikali 3
mjipange magamba wazi
nyambafu huku kijijini hitaji lao ni dawa,maji,bei nzuri ya pamba,korosho..,ajira nk...hizi serikali tatu ni tamaa ya madaraka kwa politician
Bangoo, kuna nyoka anaetamani kuota miguu ndie wewe. Chuki yako na waarabu itakuuwa mdomo wazi. Laana ya Mungu owashukie mahasidi wa ZanzibarHakuna anaeukataa muungano... Labda Maalim Sefu anaetaka kuturudishia utumwa wa kiarabu!
Kwa mujibu wa kiapo cha kukiri kuwa mwaminifu kwa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania,kuitii jamhuri ni kutii aina ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar,
Warioba kafie mbele na shirikisho lako
Kidumu chama cha Hayati Nyerere (ccm)
Udumu Muungano wa serikali mbili.
CCM hoyeee,
Ukitukana rekodi zako zitaandikwa na malaika epuka matusi.
nguruvi3 yeye hana mamlaka ya kutuchagulia idadi ya serikali wala hana uwezo wa kutupangia aina ya muungano tuyoutaka.
Kwa mujibu wa kiapo cha kukiri kuwa mwaminifu kwa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania,kuitii jamhuri ni kutii aina ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar,
Warioba kafie mbele na shirikisho lako
Kidumu chama cha Hayati Nyerere (ccm)
Udumu Muungano wa serikali mbili.
CCM hoyeee,
Ukitukana rekodi zako zitaandikwa na malaika epuka matusi.
Kimsingi kiapo hakina shida japo ni bora kiboreshwe kwa wakrito ili kiwe na nguvu. Wakrist o wasiape kwa Mungu jumla jumla bali Mungu katika Yesu Kristo.Hawa wanaosema kuwa serikali tatu ni kuvunja muungano wanamatatizo!!!!!
Kaka Listener sijawahukumu nimetahadharisha matusi kwani ni Machukizo kwa Bwana
Utahatarisha usalama wetu kwani wanaajenda ya uovu