Kiafya Wanandoa wanatakiwa kujamiiana mara ngapi kwa siku,wiki au kwa mwezi?

mmaroroi

JF-Expert Member
May 8, 2008
2,960
544
Kiafya Wanandoa wanatakiwa kujamiiana mara ngapi kwa siku,wiki au kwa mwezi?
Ndugu wana JF nauliza swali hili ili nielimishwe na wala si utani kwani ndoa ni muhimu katika kuchangia afya ya wanandoa.Naomba mnielimishe.
 
Muda wowote ule mkijisikia kwa kuwa wanandoa hawatakiwa kunyimana.
Pili Sex ina faida nyingi sana kasoro anapokuwa amejifungua baada ya arobaini kama atakuwa amejifungua kawaida na afya yake haina matatizo na kutegemeana na ushauri wa Dk.

Miezi mitatu na kuendelea kwa aliyejifungua kwa operationa nayo pia inategemeana na ushauri wa Dr
 
Kiafya Wanandoa wanatakiwa kujamiiana mara ngapi kwa siku,wiki au kwa mwezi?
Ndugu wana JF nauliza swali hili ili nielimishwe na wala si utani kwani ndoa ni muhimu katika kuchangia afya ya wanandoa.Naomba mnielimishe.

Kwani wewe kwa sasa unajamiiana mara ngapi (kwa siku, wiki, au mwezi)?
 
Nimekutana na mwanandoa mmoja anasema mwenzake anakataa kila siku kwa kuwa nonino italegea na maziwa yatalala kama ya Bikizee.Anataka mara moja tu kwa wiki.
 
Ninawashukuru sana kwa kuwa nimepata shule ya kutosha kuhusu suala hilo.
 
yeah ni kweli, na kimaadili kujamiiana ni kwa wanandoa tu kama sisi.

Mimi nijuavyo kujamiina ni broad meaning

ila Kufanya tendo la ndoa = Kwa wanandoa pekee

Kufanya ngono = kwetu sisi ambao hatujafunga ndoa

therefore tendo la ndoa + ngono = kujamiiana
 
Nimekutana na mwanandoa mmoja anasema mwenzake anakataa kila siku kwa kuwa nonino italegea na maziwa yatalala kama ya Bikizee.Anataka mara moja tu kwa wiki.

Inawezekana jamaa ananyonya sana ile chakula ya watoto ndio maana wife ameshtukia ishu
Lakini pia inawezekana jamaa ameo mwanamke ambaye ni model kwahiyo anaogopa nyonyo kushuka kwa sana

Ila mshauri huyo jamaa wako mwambie amwambie mkewe kufanya tendo la ndoa ni moja ya mambo ya msingi ambayo yamemfanya aolewe

kama hataki kuna watu watakuja na ushauri wa nyumba ndogo humu ndani ila mimi sijashauri hili, this is not allowed after all
 
Kiafya Wanandoa wanatakiwa kujamiiana mara ngapi kwa siku,wiki au kwa mwezi?
Ndugu wana JF nauliza swali hili ili nielimishwe na wala si utani kwani ndoa ni muhimu katika kuchangia afya ya wanandoa.Naomba mnielimishe.

Wanatakiwa kujamiiana as frequent as they want as long as they are both feeling healthy and able to perform the duty!!! Binadamu tumeumbwa tofauti, na hata kiu hutofautiana... cha maana ni kuepusha sex ya kulazimisha kwani huondoa hamu ya tendo

Kiafya Wanandoa wanatakiwa kujamiiana mara ngapi kwa siku,wiki au kwa mwezi?
Ndugu wana JF nauliza swali hili ili nielimishwe na wala si utani kwani ndoa ni muhimu katika kuchangia afya ya wanandoa.Naomba mnielimishe.
Sanasana inashauriwa mara 3 kwa siku hii husaidia kuwaweka wana ndoa karibu ndio sababu mara nyingi kwa baadhi ya nchi utakuta maeneo ya mjini biashara hufungwa saa sita mchana nakufunguliwa saa 8 mchana ili wanandoa wawezi pata dozi yao na ikizingatiwa mara nyingi wakati huo watoto wako shuleni
 
Tunaomba mifano halisi ya hizo nchi, tafadhali.
 
Sanasana inashauriwa mara 3 kwa siku hii husaidia kuwaweka wana ndoa karibu ndio sababu mara nyingi kwa baadhi ya nchi utakuta maeneo ya mjini biashara hufungwa saa sita mchana nakufunguliwa saa 8 mchana ili wanandoa wawezi pata dozi yao na ikizingatiwa mara nyingi wakati huo watoto wako shuleni
ha! kila siku mara tatu!!!!
 
Back
Top Bottom