Kiafya:Kwa wiki inashauriwa kusex kusizidi mara ngapi?

Kiafya:Kwa wiki inashauriwa kusex kusizidi mara ngapi?

Lishe, umri wa wanandoa, majukumu yao na afya zao. Mara mbili kwa week siyo mbaya. Ila enzi zetu wazee walikuwa ni heavy weight kiasi kwamba Bibi zetu waliwaruhusu watafute msaidizi.

Mwanzoni mwa life wengine tulikuwa kwenye 3-7x kwa week.
 
Hakuna maximum kwa wiki ila kuna minimum. Mwanaume anatakiwa akamue mzigo walau mara mbili kwa wiki. Hii itampunguzia kwa kiasi kikubwa hatari ya kuja kupata prostate cancer.
 
Kila inaposimama, kipukunyeo kihusike. As much as you can
 
Isee me ni ugomvi kila nikitaka,mpaka amehama chumba analala chumba cha wageni
 
Back
Top Bottom