Ki2ko cha mwzI wa tv | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ki2ko cha mwzI wa tv

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Fatma Bawazir, Jul 22, 2012.

 1. Fatma Bawazir

  Fatma Bawazir JF-Expert Member

  #1
  Jul 22, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 499
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Ki2ko cha mwzi wa tv jamaa1 ali iba Tv akaibeba akaanza kukimbia nayo kumbe kwenye ile nyumba kulikuwa na mgonjwa wa akil akaanza kumkimbiza, yule mwzi kila akiongeza mbio na mwenzie huyu hapa,kuona hivyo yule mwz akasalit amri ikambidi asimame,yule mgonjwa wa akil akamsogelea kumwambia...................umesahau remote hii hapa!!!!@@@.....
   
 2. d

  dennis72 New Member

  #2
  Jul 22, 2012
  Joined: Jun 29, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hduuu hapo sasa
   
 3. hovyohovyo

  hovyohovyo JF-Expert Member

  #3
  Jul 23, 2012
  Joined: Jul 8, 2012
  Messages: 540
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  akasalit??
   
 4. Jakubumba

  Jakubumba JF-Expert Member

  #4
  Jul 23, 2012
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 1,627
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Nijiendee zangu mie!!!!!
  Hakuna wapita njia leo?
   
Loading...