Leo nimeombwa Ki-Date na funzadume.
Je wana chit chat mwamjua huyu mtu, msije kuta manyoya kesho alfajiri!
Ingekuwa mimi akaa! Niliambiwa nikutane na mdemu City Garden...................... yaliyonikuta leo mmhhhh!!!
Nilikuwa Bagamoyo, nimerudi mchana huu, lakini pia sikupata mwaliko wako