Kheri yenu Masilingi na Dr. Kamala, Karamagi yu wapi?

Kheri yenu Masilingi na Dr. Kamala, Karamagi yu wapi?

Emanzi

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2011
Posts
261
Reaction score
118
Juzi kati nimesoma uzi kuwa mfalme kamteua masilingi kuwa balozi huko ulaya,historia inajirudia,marehemu balozi ngaiza,balozi kagasheki,balozi dr.d.kamala,sasa balozi w.masilingi,vp ndugu yangu karamagi???
 
jamaa ndo hawezi kuibuka tena sijui huenda akapewa ila kumbuka yamebaki mwaka na ushee m4c inachukua nchi kwahiyo kama anampango wa kumkumbuka he must do it right now.
 
Yani na mipesa yote ile unataka awe balozi? Kama ni kazi anayo ceo wa biashara zake. Kama ni kwenda ulaya mwenzio mashemeji zake weupe. Acha majungu karamagi now yupo anapiga pesa za miradi yake
 
Yani na mipesa yote ile unataka awe balozi? Kama ni kazi anayo ceo wa biashara zake. Kama ni kwenda ulaya mwenzio mashemeji zake weupe. Acha majungu karamagi now yupo anapiga pesa za miradi yake

Elewa nachozungumza hapa,mi mbona pia mimi nina mashemeji na wifi zenu ulaya??unafikiri hapo kuna kitu chochote cha maana,jina t kaka!!we unafikiri nilio wataja hapo hawakuwa na miradi au pesa???adress mkuu ni muhimu zaidi ya pesa zako hizo?
 
Juzi kati nimesoma uzi kuwa mfalme kamteua masilingi kuwa balozi huko ulaya,historia inajirudia,marehemu balozi ngaiza,balozi kagasheki,balozi dr.d.kamala,sasa balozi w.masilingi,vp ndugu yangu karamagi???
Kwani balozi Ngaiza ni marehemu? Au unamuongelea ngaiza yupi?
 
Baadhi ya wabongo mnadhani kuwa balozi wa Tanzania nje ya nchi umeukata,ukweli ni kwamba nyingi ya balozi zetu hawana kazi za kufanya,kunaboa sana huko! Mtu kama Karamagi mwenye biashara zake za maana hawezi tamani kuwa balozi!
 
timbilimu ninakubaliana na wewe kabisa. kwa watanzania wanafikiri kuwa balozi ulaya umeukata, hakuna chochote kabisa. especially ukiwa balozi wakati serikali unyo iwailisha inafanya majanga kwa watu basi ni kama hakuna. hakuna anaye kutambua kama balozi. labda wengine watatumia nafasi kufanya phd za kwenye mitandao nk
 
Back
Top Bottom