Kwako pia najua ya kuwa mwaka huu napata kazi in the name of GOD
sawa Mkuu Ila Mimi Sikuiona Heri Cz Sina Kaz Mpaka Sasa!
Nawatakia wote kila lakheri mwaka wote tupate kazi na tuzifanye kwa bidii kujenga taifa letu na familia zetu mungu tusaidie
Wewe ni senior member kweli? I doubt!! Hii ni sehemu ya Nafasi za kazi na tenda. Wewe unatuma salaam za mwaka mpya!!! Akili yako iko sawa kweli?